Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.

He is just a looner leo hata wanachadema wamekataakumpokea kapkele na moles wa CCM sfari ya ZIto imedhihirisha anayekpandisha ndio tkaye kushusha nadhani somo zuri sana wanachademaKigoma wamemsusa wmemuacha ajibanie nyama siasa za zitto zimefika kikomo hawezi fananishwa na mtu Kwa sababu nirahisi mno bei poa vipande thelethini tu anainia kingi ha ha leo ameisoma KIgoma
 
bungeni utaona ukweli upo wapi.

Labda jaribu kuangalia records zao Bungeni na hata hoja zao wanapotoa .Pitia ansard za bunge uone michango yao bungeni na mengineyo utaona tu nani kichwa na nani galasa.

Pole sana

Zzk ni Muongo.
Alisema ana majina ya walioficha fedha uswis at the same time akakana kwa kiapo kuwa ana hayo majina.
Lema huwaga hamung'unyi maneno kabisa...
 
Zzk ni Muongo.
Alisema ana majina ya walioficha fedha uswis at the same time akakana kwa kiapo kuwa ana hayo majina.
Lema huwaga hamung'unyi maneno kabisa...

lumumba 7 hawataki kusikia haya...
 
He is just a looner leo hata wanachadema wamekataakumpokea kapkele na moles wa CCM sfari ya ZIto imedhihirisha anayekpandisha ndio tkaye kushusha nadhani somo zuri sana wanachademaKigoma wamemsusa wmemuacha ajibanie nyama siasa za zitto zimefika kikomo hawezi fananishwa na mtu Kwa sababu nirahisi mno bei poa vipande thelethini tu anainia kingi ha ha leo ameisoma KIgoma

kwisha habari yake...
 
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.
umesema vema mkuu
 
Haya mapokezi ya lema ni wakati ule aliporudishiwa ubunge na mahakama
 
Mapokezi ya Zitto yalikuwa niya kawaida tu ikizingatiwa wengi tulioenda hasa sisi Chadema chama na sio wale Chadema Zitto tumeenda kumsikiliza anakuja na porojo gani? na hao ndio tulikuwa wengi.Tumemsikia hakuna jipya tofauti na kutafuta hurumakwetu!
 
Hapa naanza kupata picha halisi ya jina lako maana umekosa akili kama msalani kwenyewe kulivokosa hadhi. hizo ni hujuma tu ambazo ni za kinafiki wewe ni ccm then unajifanya unaionea huruma chadema why usiionee huruma ccm inayonuka na ubovu wa mawaziri wake.take care acha that shit zitto mwenyewe mmepokea ccm wenyewe unaleta pumba jf inataka watu punctual
 
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.

Natumaini unamjua vizuri ZZK, kama humjui tafadhali kaa kimya, ZZK ni kama Panya...huyu jamaa siasa zake ni za kung'ata na kupuliza, si mtu anayefanya jambo kwa kujenga chama bali kujijenga yeye mwenyewe, hafai kabisa kijana huyu mpaka abadirike na ni lazima abadirike kama anataka kusonga mbele na siasa za bongo, mwambie aache kiburi cha kujiona yeye ni zaidi ya chama na wengine.

Siasa za ZZK zimejaa ukabila, ukanda na like lingine ambalo wewe unalishabikia, angalia nani yupo nyuma ya ZZK then tafakari...

Huyu kijana mwezetu hafai hata kuwa kiongozi wa mtaa maana atawagawa wananchi wote kwa itikadi zake na mambo yake.

Tufikie wakati watu kama ZZK watolewe CDM kwa manufaa ya chama hata kama kuna gharama ya kulipa kwa hilo, why ndani ya CCM kuna heshima ya vikao ingawaje kuna makundi, ni lini ulisikia CCM wakitoa tamko lao kuhusu viongozi wao dhaifu na hao dhaifu wakatoka na kutoa matamko yao au kwenda kwao kufanya mikutano?

Mawaziri watano waliitwa, wakaambia nyinyi mzigo kwa chama, umewasikia kuja kwa media, kuitisha press conference, kulalamika FB na twitter? Why hawajafanya hili? Na unafikiri kwa nini?

Kwanini ZZK anapenda kutumia media kuzungumzia habari za chama na wala si kwenda ofisi za chama na kusema kama kweli ana agenda ya kujenga chama, kila kitu ni FB na twitter why?

Ili kutegeneza discipline ndani ya chama lazima kuchukua maamuzi magumu bila kuangalia ukubwa wa Samaki, kama ni kuvua wavuliwe tu bila hivyo kutokuwa na CDM ZZK, CDM Mbowe, CDM Dr. Slaa, Kaskazini, Magharibi...etc

Ifikie wakati chama kwanza majina binafsi baadaye na hili ndiyo wengi tunataka, majina yapo, yanakuja na yatapita ila chama kitizidi kuwepo na kushamirikama tukiamua kujenga chama na wala si watu.

Nani alikuwa na nguvu kama Augustino Lyatonga Mrema kwenye siasa za TZ, yupo wapi sasa? Tuache siasa za majina na tujenge vyama kwanza, CDM bila ZZK, Mbowe, Slaa na wengine inawezekana kama tukiamua kuchukua maamuzi magumu.
 
Zitto ni zaidi ya tasisi looh, yani hapo ata wngeenda kamati kuu na wabunge wote wa chadema bado zitto angewazidi. Zitto mpk ifike 2015 lazma atalaza watu kwa BP

Kweli kabisa,kuna mjinga mmoja anaitwa Ben Saanane huyu ni mbeya wa kisiasa....kazi zake kugombanisha watu tu....
 
Last edited by a moderator:
Mbulula wa buku 7 mnajitahidi sana msije mkang'olewa kama Mbumbu wenzenu jana bungeni,kama hujaridhika na maamuzi ya CHADEMA hama chama si haturudi nyuma hata siku moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom