kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Mbona mapokezi ya zito hayana bendera? au itkadi mchanganyiko?
UVCCM@Work
Mbona mapokezi ya zito hayana bendera? au itkadi mchanganyiko?
Leo mmechanganyikiwa mpaka asipiga kiwi kiatu mtamchambuaa,eti bendera... Ndio kwanza ziara imeanza LeoMbona mapokezi ya zito hayana bendera? au itkadi mchanganyiko?
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.
Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.
Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
huo ubaguzi wenu ndio unaofanya watanzania wazidi kuichukia ccm!Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.
Nilifikiri hakuna aliyeliona hilo!Mbona mapokezi ya zito hayana bendera? au itkadi mchanganyiko?
Kweli kajana ni kichwa kwa usaliti lakini kwa Chadema imekula kwake...
Mini kabang ni nani, na nini maana yake?
bungeni utaona ukweli upo wapi.
Labda jaribu kuangalia records zao Bungeni na hata hoja zao wanapotoa .Pitia ansard za bunge uone michango yao bungeni na mengineyo utaona tu nani kichwa na nani galasa.
Pole sana
Mmechanganyikiwa nyie Leo mnatafuta chochote ili mumpake tope Zitto lakini kumbuka wewe mwanamme Kama mwenzio mungu amempa kipaji omba na wewe mungu atakupa, wala kumpaka shombo Zitto hakukufanyi wewe au wenye roho ya kwanini Kama wewe m shine, acheni roho dhaifu...
Halafu akimaliza kuosha watoto wa kiarabu unamsikia na yeye anajiapiza kuwa ni Mwarabu wa Omani lol!Wewe muda wote unawaza kuosha watoto wa kiarabu tu, kwenye mada hii tunazungumzia mapokezi na si bungeni...