Hali mbaya, na mvua zikiendelea hadi Jumamosi itakuwaje?
Mungu apishe mbali mkuu...sijui na mabomu yetu yapo salama...
hakuta kuwa na sherehe za krismasi..
Watu wenye laana za wazazi wao utawatambua kwa kauli zao.Tumekusamehe mkuuTuendelee kukaa mabondeni ili tupate fursa ya kupanda helikopta.
jangwani hapo