PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

This is just sad. Zile Sh Bil 60 tulizozimwaga kwenye sherehe za uhuru zingewasaidia sana wakazi wote waliokumbwa na janga hili.
 
Jionee mwenyewe
 

Attachments

  • _MG_1006.JPG
    _MG_1006.JPG
    245.3 KB · Views: 158
  • P 3.jpg
    P 3.jpg
    136.9 KB · Views: 125
Serikali legelege ndiyo faida yake ndiyo hiyo! Miaka 50 ya uhuru ilisherekewa kwa Tsh. 64bilioni haya sasa waonyeshe kasi mpya na ari mpya kwa Watanzania!
 
hawa jamaa wanatumia matatizo ya wana-nchi kutoka/kujiapatia umaarufu kisiasa,sasa anapiga picha na bibi hili iweje?
hawa pum....fu ndo zao, huu wanautumia km mtaji wa kisiasa, kuna maana gani kumuita kamera man, huu ni usanii sana.
 
Wale waganga matapeli wa jangwani walikuwa wanawapa moyo wanawaambia majirani zao hapo jangwani kuwa wasihofu kuhusu mafuriko wao Ndio wanao yazuia yasitokee Kwa uganga wao! Naona Leo wameuumbuka!
 
Seriously this is dangerous! Majeshi yetu hapa ndiyo yalitakiwa yaonyeshe umaahiri wao wa kuokoa watu kwenye hili janga

sidhani kama ni mahiri sana kwa hili....lakini ingekuwa ni maandamano ya upinzani au ingekuwa kuna uchaguzi ambao unatishia kushindwa kwa CCM ungewaona wanavyohamanika kuchukua hatua.

poleni sana ndugu zetu mliopatwa na kadhia hiyo...May God Bless you All.
 
Aisee pole kwa wote wanaokumbwa na janga hili Mungu awe nao through out this unfortunate time.
 
DSC_5071.JPG


Angalia mtumbwi wa "kuokolea" waliokumbwa na mafuriko ulivyochoka. Sijui ulinunuliwa mwaka gani, lakini magari ya kuwamwagia Watanzania pilipili ni mapya kabisa!!!!
 
Back
Top Bottom