PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

Sehemu gani Dar hii mvua kubwa zikinyesha maji hayafuriki?
Kwetu kinyerezi hamna mafuriko labda waliojenga mabondeni. Dar zipo sehemu salama ila watu wengi wa kuja wamevamia maeneo eti karibu na bahari, wakati ni bondeni. Kukaa uswahilini au mbali na mji watu hawataki. Wote wanakuwa "clustered" sehemu moja kwa kisingizio karibu na mjini matokeo ndiyo hayo mafuriko. Mkuu zipo sehemu salama na nzuri. Nimekulia chang'ombe na temeke umesikia kumewahi kufurika huko?
 
Sehemu gani Dar hii mvua kubwa zikinyesha maji hayafuriki?
Nyingi sana mkuu. Unless kwako wewe Dar ni mikocheni na mbezi beach, maana ndiyo habari ya hii mada. Achana na mafuriko yanayosababishwa na mitaro kutokusafishwa na ujenzi holela wa hapa mjini posta and kariakoo. Zipo sehemu salama sana. Kwa mfano ninakokaa hakuna mafuriko labda kwa waliojenga bondeni tena bonde ambalo tulilipwa na songas. Wenyewe songas wakija after many years watu watalia kilio cha mbwa.
 
Dar yote ni bahari....
Ni kweli mkuu Dar yote ni bonde. Ila kuna sehemu chache ziko juu na ni salama. Tatizo lingine kila mtu anataka kuishi Dar sasa tumefurika. Tuanze kwenda mikoa mingine. Ila nako yapo. Moshi watu kibao wamekosa makazi baada ya mafuriko. Jibu ni kuwa kabla mtu hajajenga nyumba ahakikishe hiyo sehemu ni salama.
 
Thats word, final and complete!!!
Kuna siku tulienda kuangalia kiwanja na mshikaji maeneo ya makonde mbezi ya kimara...kiwanja kilikuwa kikuuubwa afu bei ndogo ukilinganisha na uzuri wa kile kiwanja ...
Tuakkubaliana kabisa kuwa tunaleta ela siku inayofuata...Mungu mkubwa...mvua si ikanyesha...aisee gari ilikuwa na four wheel lakini tulishuka na kuanza kutembea kwa miguu maana ilikuwa inateleza hakuna maelezo...dongo la mfinyazi haswa...
Tulivyofika tukamwambia yule mama tutakuja tena siku nyingine...nahisi aligundua tumeshtuka...akaanza ooh mtashirikiana na wenzenu majirani kutengeneza hii barabara...hahahaha...tutengeneze barabara sie tanroads...
Yani tulishukuru mmno...from that day ikawa formula...kiwanja kizuri utakijua wakati wa masika
 
Na hii ndo sheria nimekuwa nikiitumia miaka yote pale ninapotaka kuhodhi ardhi. Utaangalia njia za kufika kwenye ardhi husika na ardhi yenyewe imelala ardhini au inaelea juu ya maji.
 
Huwa nawaza kwa sauti hivi.... haiwezekani kipindi cha masika ndo ukawa msimu wa likizo hasa kwa watoto wa shule? Hapo wazazi nao wanachukua likizo na ofisi kadhaa za serikali zinafungwa hadi msimu wa masika uishe. Na muda huo ufidiwe kipindi cha kiangazi.
Hii itasaidia kipindi cha masika watu kuangalia makazi yao bila kuwa na hofu kuwa inabidi wawepo maeneo ya kazi kuanzia asubuhi hadi jioni. Kumbuka masika huambatana na kero za usafiri tofauti na kiangazi au vuli.
Maana kuna watu ili wapike kazini msimu wa masika shurti wawe na nguo mbili, ya kutokea nyumbani ambayo akifika ofcn imejaa tope anabadili na kuvaa nguo ya pili ili awe msafi kazini. Wengine magari wanapaki CCM au gereji maana barabara ya kuingia nyumbani kwake imetoboka toboka kama viraka.
 
Nyingi sana mkuu. Unless kwako wewe Dar ni mikocheni na mbezi beach, maana ndiyo habari ya hii mada. Achana na mafuriko yanayosababishwa na mitaro kutokusafishwa na ujenzi holela wa hapa mjini posta and kariakoo. Zipo sehemu salama sana. Kwa mfano ninakokaa hakuna mafuriko labda kwa waliojenga bondeni tena bonde ambalo tulilipwa na songas. Wenyewe songas wakija after many years watu watalia kilio cha mbwa.

Kwanza, si Mbezi beach yote imefurika. Huu ni ukweli kabisa. Mbezi ni kubwa na si sehemu zote ni flood zones.

Pili, naona tumepishana viwango. Niyaonayo mimi kuwa ni mafuriko huenda wewe ukayaona ndo kawaida.

Hivyo sishangai unaposema sehemu ambazo hazifuriki Dar ni nyingi sana kwani unaweza hata kunambia Dar watu wengi ni wasafi wa mwili na hawanuki vikwapa ilhali mi naona kinyume chake.
 
Dar kuna maeneo hata mvua inyeshe mwezi maji hayatuami...ila tatizo ni kasumba za nakaa mbezi beach...kwi kwi kwi...tena wale waliokuja mjini ukubwani wanapapenda mbezi beach balaa...

Kama una pesa yako kwa nini usitafute eneo lisilo na majanga...
Hata tajiri yetu nae anakaa kwenye mafuriko wakati angeweza nunua farm maeneo mengine nje ya mji akatulia...

Umesahau na sinza..wakuja wengi walokuja mjini wanakimbilia sinza..kinondoni nyumba km stoo lk 3....
 
Haahaaa! !!!!!! Eti nakaa mbezi beach.
Umenikumbusha nikiwa mkoania enzi hizo jamaa wanatutambia kuwa wapo mwananyamala. Sasa nilipotia timu mjini nikaona hayo makazi . jamani, jamani, jamani! !!!! . Kama ujanja nikuishi dar tu basi bwana
Hahahah kuna msasani napo sijui pana hali ganii
 
Back
Top Bottom