PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Hali iko hivi muda huu maeneo mbalimbali katika jiji letu la Dar
Kwa kweli inafaa tuchukue tahadhari na hizi barabara zetu za kibongo hasa kipindi hiki cha mvua.

Wadau kama upo sehemu nyingine yenye hatari kama hii, tupia picha au video ili kila mmoja achukue tahadhari.

Mbezi beach Tangi-Bovu

AloHkfcjFuZJctLIgo7HXbHNBEAfnM6cxY1OAD58V0JX.jpg


20160428010110.jpg

20160428010216.jpg


Maeneo ya Milenium Towers

WhatsApp-Image-20160428 (1).jpg


WhatsApp-Image-20160428.jpg

Maeneo ya Posta Leo

WhatsApp-Image-20160428 (4).jpg
WhatsApp-Image-20160428 (5).jpg
WhatsApp-Image-20160428 (6).jpg

WhatsApp-Image-20160428 (7).jpg


Maeneo ya Mikocheni, Karibu na KFC
WhatsApp-Image-20160428 (8).jpg

WhatsApp-Image-20160428 (9).jpg


Hapa maji yanaingia ndani, wameweka mchanga mlangoni kuzuia

WhatsApp-Image-20160428 (11).jpg

WhatsApp-Image-20160428 (10).jpg
Kigamboni
imageuploadedbyjamiiforums1461837699-935606-jpg.342948
 
Hiyo ndiyo raha ya Dare salaam wakati wa mvua, wakati wa mvua si lazima uishi bondeni!.
 
Ndio tatizo la kujenga mabondeni...sijui watu wanapapendea nini? ...nina bro angu kila masika yeye kwake mafuriko...lakini utamsikia nakaa mbezi beach
Sio suala la bonde, ni miundombinu mibovu. Kama Mbezi Makonde, Mbezi juu, Mbezi Tangi bovu nk ni bondeni inabidi Dar nzima ijengwe milimani.
 
Wanaume wa Dar mvua ikinyesha wanalalamika, wanaume wa mikoani mvua ikinyesha tunamshukuru mungu tunachukua jembe tunaenda shambani, tukivuna tunakuja Dar kutumia, tukia Dar mnabaki kulalamika kuwa wake zenu sio waaminifu.
Wanaume Wa mkoa sijui mkojeeee....kazi umbea. Sasa hili swala linahusiana VP na uanaume???
We unadhan kila mvua inahitaj jembe????
Dar utalima lami??
 
Back
Top Bottom