Jiingize wewe na ukoo wako.Tatizo mipango miji zero, watu wanajijengea tu, tena huko mafuriko yalipo ndo kumepimwa kabisa. Tatizo jingine kubwa sio mafuriko yanayotokea dar sasaiv shida ni kwamba miji inayoendelea kukua hakuna strategies zinazoreflect makosa ya dar, lazima tukubali sis wadanganyika ni vilaza ambao hawajawahi pata tokea hapa duniani, yan inabid tuingizwe kwenye kumbu kumbu za kimataifa.