Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
labda kama ni ofisini yako.
sie tumepewa leave kesho na leo kuondoka mapema.
labda kama ni ofisini yako.
Tajiri mzawa humjui weweNi nani huyo tajiri yenu??
Huko Makonde juu huwezi kutoka wala kwenda!
Wanaume wa Dar mvua ikinyesha wanalalamika, wanaume wa mikoani mvua ikinyesha tunamshukuru mungu tunachukua jembe tunaenda shambani, tukivuna tunakuja Dar kutumia, tukia Dar mnabaki kulalamika kuwa wake zenu sio waaminifu.
Weeeeee! ushawahi sikia mabalaa ya kijinga tmk?Mbezi beach -tangi bovu huko ndiko wanakojisifia wanakaa wenye nazo,maji kibao,ssa mbagala kukoje?
Ndiyo maana nilipakimbia na nikahama kabisa na sasa waliobakia wanakiona cha moto.
limeni hapo mliman city🙂Wanaume Wa mkoa sijui mkojeeee....kazi umbea. Sasa hili swala linahusiana VP na uanaume???
We unadhan kila mvua inahitaj jembe????
Dar utalima lami??
Nilivyokuwa mdogo hapo mikocheni enzi hizo kukiitwa msasani watu walikuwa wanavuna chumvi. Hiyo sehemu ni sawa ikifurika. Bahari tulikuwa tunaiona tukipita barabarani. Kufurika ni sawa. Hapo ni bonde fullstop.Hali iko hivi muda huu maeneo mbalimbali katika jiji letu la Dar
Kwa kweli inafaa tuchukue tahadhari na hizi barabara zetu za kibongo hasa kipindi hiki cha mvua.
Wadau kama upo sehemu nyingine yenye hatari kama hii, tupia picha au video ili kila mmoja achukue tahadhari.
Mbezi beach Tangi-Bovu
View attachment 342978
View attachment 342979
View attachment 342980
Maeneo ya Milenium Towers
View attachment 342960
View attachment 342964
Maeneo ya Posta Leo
View attachment 342969 View attachment 342970 View attachment 342972
View attachment 342973
Maeneo ya Mikocheni, Karibu na KFC
View attachment 342985
View attachment 342986
Hapa maji yanaingia ndani, wameweka mchanga mlangoni kuzuia
View attachment 342989
View attachment 342988
Nilivyokuwa mdogo hapo mikocheni enzi hizo kukiitwa msasani watu walikuwa wanavuna chumvi. Hiyo sehemu ni sawa ikifurika. Bahari tulikuwa tunaiona tukipita barabarani. Kufurika ni sawa. Hapo ni bonde fullstop.
Huenda wengi wetu wasikuelewe ulichoandika lakini ndio ukweli. Tatizo pesa zimeingia kwenye mikono ya watu wasiostahili na ndio maana wengine wanadhani eti kuwa kiongozi mstaafu ni lazima uishi jirani na Mwalimu. Maeneo yalishajaa na wanalazimisha kujenga hata kwenye maeneo ambayo Mungu aliyaumba kupitisha maji kwa kisingizio eti "mbona Hong Kong Holiday Inn imejengwa Bharini"Nilivyokuwa mdogo hapo mikocheni enzi hizo kukiitwa msasani watu walikuwa wanavuna chumvi. Hiyo sehemu ni sawa ikifurika. Bahari tulikuwa tunaiona tukipita barabarani. Kufurika ni sawa. Hapo ni bonde fullstop.
Dah,, labda hana namba ya kaka yake [emoji12]Kwa nini umpigie shem badala ya kaka yako!!!?