Watu wanajenga kwenye mikondo ya maji wakitaka kuobdolewa UKAWA mnaenda mahakamani....Sio suala la bonde, ni miundombinu mibovu. Kama Mbezi Makonde, Mbezi juu, Mbezi Tangi bovu nk ni bondeni inabidi Dar nzima ijengwe milimani.
Huku tumetapisha vyooWatutangazie ruhusa tukalale nyumbani;
sasa kama huko kwa matajiri kuko hivyo
huko uswazi kwetu kutakuwaje;
Ushuani tena,hongereniHata huku kwetu Oysterbay hakuna mafuriko.
Asante mkuu na mimi nitazitundika za huku Kyela kesho ni balaa,sijui mitumbwi inapatikanika wapi kwa sasaHali iko hivi muda huu maeneo mbalimbali katika jiji letu la Dar
Kwa kweli inafaa tuchukue tahadhari na hizi barabara zetu za kibongo hasa kipindi hiki cha mvua.
Wadau kama upo sehemu nyingine yenye hatari kama hii, tupia picha au video ili kila mmoja achukue tahadhari.
Mbezi beach Tangi-Bovu
View attachment 342978
View attachment 342979
View attachment 342980
Maeneo ya Milenium Towers
View attachment 342960
View attachment 342964
Maeneo ya Posta Leo
View attachment 342969 View attachment 342970 View attachment 342972
View attachment 342973
Maeneo ya Mikocheni, Karibu na KFC
View attachment 342985
View attachment 342986
Hapa maji yanaingia ndani, wameweka mchanga mlangoni kuzuia
View attachment 342989
View attachment 342988 Kigamboni
![]()
Wewe naona ujinga wa mijadala ya Ukawa na Ccm imekuathiri. Si kila Mtu humu ni wa Ukawa au Ccm.Watu wanajenga kwenye mikondo ya maji wakitaka kuobdolewa UKAWA mnaenda mahakamani....
Nimezaliwa Dar...nini kukaa...nayajua mabonde yooote milima na tambalale...Mkuu nahc hukai dar!!
Mlikuwa wapi wakati wanajenga? Hadi hati mmewapa.Watu wanajenga kwenye mikondo ya maji wakitaka kuobdolewa UKAWA mnaenda mahakamani....
Huko Bunju ukitaka kuja town haupiti mbezi beach kweli? Au kuna njia mbadala?Hamieni Bunju mafuriko tunayasikia tu huku shwari kabisa
Tatzo miundo mbinu sio rafiki
Ungejitahidi kuelewa point Mbezi mafuriko wanaishi nayo sisi wa Bunju tunayapita tu hapo kama tukiwa na safari za kutupitisha huko, lakini hatuishi na mafuriko huku Bunju, see the difference?.Huko Bunju ukitaka kuja town haupiti mbezi beach kweli? Au kuna njia mbadala?
Mvua imezidi ila pia miundombinu sio rafiki kwa mvua hii ilitakiwa itafutwe kampuni kweli kwa ajili ya miundombinu na kuvuna hayo maji yaelekee usawa wa bahari au kuyatunza kwa ajili ya recicle kwa maji ya kunywa sema kwa siasa zetu sioni kama hili litawezekana...