PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

Sio suala la bonde, ni miundombinu mibovu. Kama Mbezi Makonde, Mbezi juu, Mbezi Tangi bovu nk ni bondeni inabidi Dar nzima ijengwe milimani.
Kabisa mkuu maana ukicheki makonde tangibovu na mbezi juu si bondeni lakini hali ndo Kama hiyo. Miundombinu hapa ndo tatizo.
 
Mvua ya wiki hii imejiunga na bando la chuo aisee, tena lile bando la wiki. So tuvumilie tu kifurushi kiishe.....
 
Mvua ya wiki hii imejiunga na bando la chuo aisee, tena lile bando la wiki. So tuvumilie tu kifurushi kiishe.....
WATABIRI WA HALI YA HEWA WALITOA TAADHALI LAKINI TATIZO HAWATOI USHAURI WATU WAFANYA NINI... POLENI, MASKINI HAPO MAENEO YA MBEZI TANK BOVU KUNA KAKA YANGU .... SIJUI YUKO NA HALI GANI... EBU NIMPIGIE SHEM NIJUE KINACHOENDELEA HAPO
 
Nimepita eneo la Upanga, ukitoka Muhimbili kuja Selander, hali ni mbaya sana. Maji yako kama mita moja na nusu kuja juu, kama una gari iliyo chini chini usipite huko, bi balaa kabisa
 
Hayo yalikuwa mabonde ya mpunga na mikondo ya maji
Hata Kisutu, Magomeni, Manzese ilikuwa bonde la mpunga ukisoma historia ya Dar karne ya 18 na mwanzoni karne ya 19. Vipi na hapo tuvunje nyumba?
 
Nimepita eneo la Upanga, ukitoka Muhimbili kuja Selander, hali ni mbaya sana. Maji yako kama mita moja na nusu kuja juu, kama una gari iliyo chini chini usipite huko, bi balaa kabisa
Hata Un road? Hatari sana
 
Hata Un road? Hatari sana
Kabisa ndugu, nilipita pale around saa tatu na nusu asb, hali ilikua mbaya sana. Kile kipande cha kuelekea Diamond Jubilee chote kilijaa maji, kulikua hakujulikani barabara iko wapi na mitaro iko wapi. Hatareee
 
Back
Top Bottom