Hatumii mchicha huyoWe utakua mgonjwa wallah
Labda za ndani ya daladala za buza hizo.Museven mwenyew ni muhutu kwa asili..ndomana hawaivi na kagame...
Za ndan kabisa
Haa ha haha, wivu tu huna lolote (Joke)still wabovu sjaona pisi kali hpo
Acha kuzuga wewe kijana!! au ndo sizitaki mbichi hizi!!! unaweza kuzitumia??still wabovu sjaona pisi kali hpo
Wamefanana na mama yaoPicha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?
Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%
Ila ni pisi kali balaa
View attachment 1840749View attachment 1840750View attachment 1840751View attachment 1840752
Hii pisi sio kali tu, ni moto wa kuotea mbali. Mtoto kama huyu hatakiwi kutoa chozi aisee
Baelezee!! Baba mkuru! hajui huyo dogo! Mbali na hiyo Mkuu!! hao kifamilia wako njema mno!! usidhani watakaa hapo kampala au Uganda kwa ujumla wake Km ilivo!! hata wakikaa hkn wakuigusa hiyo familia wataingia na kutoka watakavyo...Unafahamu cheo cha mtoto wake wa kiume jeshini ??
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
kama mke wa Mongate mbunge wa zamani wa Serengeti
Wameolewa hao woote. Tena na watu wenye ukwasi na ushawishi mkubwa. Mmoja kaolewa na mchungaji. Yule wa kiume kaoa mtoto wa sam kutesa.Mleta Mada weka na anuani zao basiii!! simu!! hata e-mail, wape yangu hii ,,, nyarusare@gmail.com usinibanie tafadhali wape hii anuani!!
maari shingapi? naenda kuoa mtoto wa musevenPicha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?
Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%
Ila ni pisi kali balaa
View attachment 1840749View attachment 1840750View attachment 1840751View attachment 1840752