Picha: Mabinti wa Museveni ni Waganda kweli?

Unafahamu cheo cha mtoto wake wa kiume jeshini ??

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Baelezee!! Baba mkuru! hajui huyo dogo! Mbali na hiyo Mkuu!! hao kifamilia wako njema mno!! usidhani watakaa hapo kampala au Uganda kwa ujumla wake Km ilivo!! hata wakikaa hkn wakuigusa hiyo familia wataingia na kutoka watakavyo...

strategically familia za hawa Marais ---Moi, na Museveni, Tafawa Balewa kwa Africa hii
wako njema si kawaida hapo ndani ya Tel Aviv nenda ujionee mwenyewe!! Moi katibiwa huko wee! mpaka kifo!

japo pia shule zao zimepanda hao watoto ni gusa unuke!! Bob wine kapigwa weee! akalia ka mtoto wakampa pipi USA!! akatulia! huyu ni msindikizaji fresh yule! leo hii anajua anacho kifanya!!

Hkn Nchi yeyote ya Kimagharibi inayothubutu kumponda/kumkaripia au kemea Museveni eti amekaa madarakani muda mrefu ki viile!! iko wapi nchi hiyo aseme ukweli Mwenyewe! sababu m7 anajua kula nao sambamba na wanchokitaka!!

Uganda ni Muhimu kwa matumizi ya baadaye ya Israel ya leo!! mwanzoni hasa walimtaka Idd Amini, na walimwandaa kwa gharama kubwa huko israel akajifanya Mjanja!! Kilicho mkuta hkn asiye jua!! Nyerere alijua hili aka take advantage hiyo,na kumuweka Mseveni!!

OK! Km haitoshi Kabila Mkubwa alijifanya mjanja yuko wapi leo?? J. kabila Mdogo alilijua hilo wakampandisha , huyo hapo katulia tuliii!! mpaka kesho haguswi!! sasa atokee mtu amguse anuke ghafla!!

shukruni wabongo German ya leo inatamani Tanganyika wakiipata tu heee!!

pamoja na vurugu zoote za wazaire hapo wamezima fegi!!! Uganda ni nchi ya kimkakati zaidi kwa Israel waliipania kabla! kitambo mnoo!! hata kabla ya Uhuru wao! ukiigusa Israel umeitonesha NATO yote km ilivo!

hivi huyo dogo anajua kwa nini wayahudi walitaka kupelekwa Uganda??
 
Mleta Mada weka na anuani zao basiii!! simu!! hata e-mail, wape yangu hii ,,, nyarusare@gmail.com usinibanie tafadhali wape hii anuani!!
Wameolewa hao woote. Tena na watu wenye ukwasi na ushawishi mkubwa. Mmoja kaolewa na mchungaji. Yule wa kiume kaoa mtoto wa sam kutesa.
Infwakiti wameolewa au kuoa na wenye mamlaka ya juu.
So far damu haijaenda mbali. Damu imechezea kwa wanyankole na watutsi wa Uganda.
Hapa nahisi mama Janette ndo alikuwa mtengeza konoksheni.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom