Picha: Mabinti wa Museveni ni Waganda kweli?

20210628_205507.jpg
 
Picha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?

Mmeona pisi kali za mzee baba?Hawa ni waganda kweli kiasili?maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%

Ila ni pisi kali balaaView attachment 1840741View attachment 1840743View attachment 1840742View attachment 1840745View attachment 1840744View attachment 1840746View attachment 1840748View attachment 1840747View attachment 1840749View attachment 1840750View attachment 1840751View attachment 1840752
Museveni sio Mganda,kwa maana ya kabila,maana Kuna kabila linaitwa Baganda,Museveni ni Mnyankole,ni jamii ya wafugaji kama maasai,huku kwetu tunawaita wanyambo wa Karagwe,
Na hizi jamii zinauhusiano wa kinasaba na wanyarwanda,na wenyeji wa Ngara,
 
Back
Top Bottom