Museven hana unyarwanda wowote hana tofauti na wagogo, hao mabinti wamechukua damu ya mama yao.Tunashukuru kwa kututhibitishia kwamba Museven ni Mnyarwanda.
Itakua wanyakyusa mbona wanafanana na Dr Tulia.Picha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?
Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%
Ila ni pisi kali balaa
View attachment 1840749View attachment 1840750View attachment 1840751View attachment 1840752
Aaaah!! Shekh unaniuliza tena mimi?Ni mganda?
hapana sio CDF kwasasa, na hata Kama angekuwa cdf Bado hawi na nguvu itakapotekea baba yao amefarikiMwanaye MUHOOZI KAINERUGABA ni mkuu wa majeshi ujue
Alipata mafunzo Sandringham ndiye CDFhapana sio CDF kwasasa, na hata Kama angekuwa cdf Bado hawi na nguvu itakapotekea baba yao amefariki
Mke wa Museveni ni Mtanzania wa Karagwe (eneo alilotoka sasa lipo Kyerwa) kama sikosei ana asili ya wale wafugaji wanaoitwa WahimaMuseven hana unyarwanda wowote hana tofauti na wagogo, hao mabinti wamechukua damu ya mama yao.
Swali lilitakiwa kuwa mke wa Museven ni Mganda?
Mkuu wa jeshi la ardhiniAlipata mafunzo Sandringham ndiye CDF
Tako linawajaza uchafu/utoko kwny fasi ya dwasi.Kama Wana sura nzuri hawana Tako hao ni mabishoo tu
Labda majeshi ya chato mzee.Mwanaye MUHOOZI KAINERUGABA ni mkuu wa majeshi ujue
Wanubi si jamii ya NILOTE ,jamii zinazoishi around nile river(jamii zinazofanana na wajaluo hivi na wamasai),mbona IDD AMIN alikuwa na pua ya kibantu kbsa,pua zetu wabantu ni panaIddi Amini asili yake ni Mnubi kutoka Sudan na Museveni ni Mnyarwanda.
Kwa mtazamo wako anauhalisia wa wapi?Mke wa Museveni ni Mtanzania wa Karagwe (eneo alilotoka sasa lipo Kyerwa) kama sikosei ana asili ya wale wafugaji wanaoitwa Wahimba
Uhalisiia siwezi kufahamu ila mfanano Wahima wamefanana na Watutsi ,Wasomali na Wahangaza uvaaji wao (wanawake) utafikiri WasomaliKwa mtazamo wako anauhalisia wa wapi?