Picha kwenye blog

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
Mambo vipi wakuu wangu,poleni na majukumu ya kimaisha
ndugu zangu ninatatizo la kuweka picha kwenye blog yangu zenye ubora,kwa kıfupı kutumıa duka la picha au adobephotoshop siwezı kabısa,
kuna mtu ana ujuzi mwıngne wa kutatua tatizo langu,?.
Jarıbunı kucheck hapa
www.gshayo.blogspot.com
Muwe na wakati mzurı.
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Sasa kumbe kuweka picha kwenye blog yako kunakushinda sasa hiyo blog yako ina maana gani? Hakuna haja ya kuwa na utitiri wa blog zisizo na maana!
 
Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
Sasa kumbe kuweka picha kwenye blog yako kunakushinda sasa hiyo blog yako ina maana gani? Hakuna haja ya kuwa na utitiri wa blog zisizo na maana!

mkuu hyo inamaana kubwa sana kama vp jarıbu kuingia huko kwanza ndıo useme maneno kama hayo.
 
Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
anga;ia sehemu ya kupost kwa juu ya sehemu ya kuandikia txt kuna alama ya picha au video click hapo then uta-upload kama vile unavyofanya kwenye mail za kawaida za yahoo, na then itakuonyesha unapenda ikae vipi then unachagua wewe mwenyewe
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Mambo vipi wakuu wangu,poleni na majukumu ya kimaisha
ndugu zangu ninatatizo la kuweka picha kwenye blog yangu zenye ubora,kwa kıfupı kutumıa duka la picha au adobephotoshop siwezı kabısa,
kuna mtu ana ujuzi mwıngne wa kutatua tatizo langu,?.
Jarıbunı kucheck hapa
GSHAYO
Muwe na wakati mzurı.

Nahani tatizo ni quality ya picha unazochokua. Mfano picha ya mwazo kabia na ya mgonjwa zina nafuu sabbau quality ya origana image ilikuwa nzuri.

Kufanya picha ndogo kuwa kubwa zaidi kama ina quality mbaya photoshop haina msaada mkubwa lakini ingekuwa ni image ya size kubwa kuifaya iwe ndogo basi na quality (pixels) za image zinaongezeka.

Mfano hiyo ya Kikwete Originl image yake ni ipi ?

Sababu huo ukurasa wako wa mwanzo frame size yake ni kubwa kama ori ginal image ni ndogo na ni poor quality Photoshop haiwezi kuusaidia.Ukiikuuza itaonyesha mawenge mawenge

So labda punguza frame size ya picha kwenye ukurasa wako wa mwazo au jaribu kuchukua original image zenye quality nzuri ili hata ukifanya uchakachuzi zisiharibike au chukua picha zenye size inayoendana na na frame size ya picha za ukurasa wa mwanzo
 
Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
anga;ia sehemu ya kupost kwa juu ya sehemu ya kuandikia txt kuna alama ya picha au video click hapo then uta-upload kama vile unavyofanya kwenye mail za kawaida za yahoo, na then itakuonyesha unapenda ikae vipi then unachagua wewe mwenyewe

mkuu pote huko najua tatızo langu nı kuweka pıcha zenye qualıty.
Check hapa kwanza
www.gshayo.blogspot.com
 
Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
Nahani tatizo ni quality ya picha unazochokua. Mfano picha ya mwazo kabia na ya mgonjwa zina nafuu sabbau quality ya origana image ilikuwa nzuri.

Kufanya picha ndogo kuwa kubwa zaidi kama ina quality mbaya photoshop haina msaada mkubwa lakini ingekuwa ni image ya size kubwa kuifaya iwe ndogo basi na quality (pixels) za image zinaongezeka.

Mfano hiyo ya Kikwete Originl image yake ni ipi ?

Sababu huo ukurasa wako wa mwanzo frame size yake ni kubwa kama ori ginal image ni ndogo na ni poor quality Photoshop haiwezi kuusaidia.Ukiikuuza itaonyesha mawenge mawenge

So labda punguza frame size ya picha kwenye ukurasa wako wa mwazo au jaribu kuchukua original image zenye quality nzuri ili hata ukifanya uchakachuzi zisiharibike au chukua picha zenye size inayoendana na na frame size ya picha za ukurasa wa mwanzo

mkuu ngoja ntafanya hvyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom