Picha: Kikwete na Rugemalira wa VIP Engineering hawajakutana barabarani

Hivi kukiwa na rumours mtaani kwamba Kiraia anatembea na mkeo ukawa mbishi siku wakikuonesha picha wakiwa wamekumbatiana utafikiriaje?

unahitajika kuwa na ushahidi mwingine wa kimazingira unaocorroborate na ushahidi mwingine wa kimazingira ili kuhitimisha jambo bila hivyo ushahidi wa kimazingira pekee hautoshi kutia mtu hatiani.
 
Kweli hawakukutana barabarani
Lissu alianza kuielezea vizuri sana, watu wanapiga mashuti ya mbalii
 
unahitajika kuwa na ushahidi mwingine wa kimazingira unaocorroborate na ushahidi mwingine wa kimazingira ili kuhitimisha jambo bila hivyo ushahidi wa kimazingira pekee hautoshi kutia mtu hatiani.

Conclusion bado ila dots zinakuwa connected it will come a time zitakuwa zimekamilika
 
Kha kweli watu tunatoka mbali,inabidi na mimi nigombee uraisi bana,kumbe ndio maana wanatoana roho kwenda kwenye jumba la Magogoni aisee
 
Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo!

Ama kweli, hawakukutana barabarani
attachment.php

ujumbee huu wa picha ulio letwa na Invisible una maana kubwa sana...unganisha dots.
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana hii nchi, Halafu watu wanapaza sauti eti Muhongo ajiuzuru Tibaijuka, Warema na sijui nani mwingine.....

Hao wote ni dagaa tu kubwa la madagaa ndiye huyo tunayetegemea achukue maamuzi ya kuwawajibisha hao vidagaa.. halafu akuwawajibisha eti tunakenua meno eti amechukua maamuziw magumu..?? Ukinga ulioje

Mkuu Invisible tunashukuru kuingia mstari wa mbele kutufukunyulia yasiyoonekana kwa macho ya kawaida na Kuhitaji MIWANI ili tuweze kuyaona na Hakika tunaona. Huyu bwana baada ya kustaafu hatakaaa hapa nchini, kama akiwa madarakani makombora anayorushiwa ni zaidi ya uzito wake itakuwaje akiwa nje ya Power???

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Mnazunguuka saaaana, Semeni kwa Herufi kubwa kwamba Kikwete ni Ukoo wa Panya na Mwizi yeye Familia, ukoo wake pmj na Marafiki zake!

Lakini Watu tukiandika Hapa kwamba Kikwete ni mwizi mada inafutwa ama unafungiwa, lkn Ukimwita Lowasa Fisadi ni sawa, ukimwita sijui Chenge fisadi hamna shida lkn Ukiandika Kikwete ni Mwizi ni ishu sasa ni kwanini au ndio Kinga ya Uraisi mpaka kwenye Internet?
Kama kweli unafungiwa kwa kusema Kikwete ni mwizi basi tuna ma mods mamburula na wajima.Na hili jukwaa haliwezi kuwa huru tena,hiki kitakuwa ni kijiwe fulani cha watu kujichumia pesa safi na chafu kwa wakati mmoja(Naweza fafanua hili baadae hili nikitakiwa kufanya hivyo).
 
Na hiki kigugumizi cha kufanya maamuzi kinatokana na ukweli kuwa rais analijua vilivyo hili sakata zima na anajaribu kuweka sawa na hawa wezi wengine na hao mawaziri waliojikuta ndani ya kashfa kwa namna ambayo hawataharibu mambo zaidi,there's a lot at stake,ujanja mwingi mbele kiza.
 
Mnazunguuka saaaana, Semeni kwa Herufi kubwa kwamba Kikwete ni Ukoo wa Panya na Mwizi yeye Familia, ukoo wake pmj na Marafiki zake!

Lakini Watu tukiandika Hapa kwamba Kikwete ni mwizi mada inafutwa ama unafungiwa, lkn Ukimwita Lowasa Fisadi ni sawa, ukimwita sijui Chenge fisadi hamna shida lkn Ukiandika Kikwete ni Mwizi ni ishu sasa ni kwanini au ndio Kinga ya Uraisi mpaka kwenye Internet?
​ha ha ha aha balaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom