Picha: Kikwete na Rugemalira wa VIP Engineering hawajakutana barabarani

kiukweli picha inatoa tafsiri zaidi ya moja.
Je,umeiyona taf Naomba radhi kama nitakua nimekosea.
Ukweli nikiiangalia kwa umakini picha ya hapo juu,napata tafsiri ya kutaka kumfananisha na ndugu zangu wale walio imbwa na dada yetu lady jjide (wanaume kama ma.....) kazia na zile suit alizo ongwa.
Ok kila mmoja anaona kwa mtizamo wake ni kama wachina kuchinja mbuzi kwao ni taboo lakini mbwa kwao ni sawa mbuzi kwetu,nasi mbwa ni taboo, mbuzi kwetu pembeni ya bia chakula ya wazee.

Ufahamu wangu kwa Rais huyu ni mtu wa Pwani na vidole kwake viko hivo kama watu wote wa pwani wanaume kwa wanawake mpaka kesho vidole vyake uwa vina muonekano wake.,....nilifaidi kujua vidole vyake vina manjonjo pale msaniii Stev Nyerere alipo muigiza kama Mr Presedent...Na mara zote anapoigiza basi uweke matashiti ambayo uongeza moja ya IDENTITY kuwa huyu ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Huko uliko mpeleka siko ndugu yangu.....eheeee ,.....umeingia choo cha kikee.Mzee wetu huyo anadegree hataree sana ukulasa wa KIUMENI manake kwanza sura tu dada zako washazimia wawe ni wakimanga, kisomali, na wabantu wenzie...na alipo ana shule ya watoto damu yake yani kama ni UANAUME sekta hiyo Mzee wetu huyu aliutendea haki, na wanaomjua wanasema anaendelea kuutendea haki.

Kama una dada au binamu mweupe wa haja nywele za kimanga tabasamu la kumtoa nyoka pangoni akikutana na nae mbali ya ile ya kuwa mkuu basi matashititi yake na sera za kiumeni,tu mpwa au dadayako atakuwa ashazimia mbaya .....wao wenyewe uwa wanazimika wanasema anaweza kumhandle mrembo wa kiwango chochote...chezea mambo ya saigoni na oysterbay mess enzi hizo...nimefanya kuhadithiwa nikiunganisa na dot basi uko NAMPA MIA ,,,manake kwa mwanaume yoyote sekta hiyo ndio SIFA zetu...ukikosa uko basi UJAWA KIDUME.Sasa huyu ni weka mbali na rangi nyeuoe, nywele za singa na sura mviringo...utaumia.
 
Sidhani kama kuna binadamu anayeweza kujitenga na binadamu wenzake halafu huyo huyo akaja kuwa kiongozi wa binadamu wenzake, lazima uishi katika dunia, nashangazwa sana na binadamu wanaojaribu kuishi katika dunia ya kusadikika kwamba wao hawana mawaa yoyote, unaweza kuwa na rafiki mtumia kilevi lakini wewe usiwe mtumiaji wa hicho kilevi ukawa unatumia kitu kingine tofauti,

sioni ajabu mtu fulani kupiga picha na fulani, sio lazima wawe washirika katika kila kitu, ni ajabu sana kuanza kuimplicate watu wengine kwa mambo fulani simply kwa picha tu, kama ni hivyo basi watanzania natusibirie rais ajaye atoke mars ambaye huyo hajawahi kuwa na ukaribu na binadamu wengine maana huyo hata kuwa na picha au watu wa kumhusisha nae.

Umeeleza vzuri mkuu. Ila jaribu hata ukae peke yako mahala. utazame hiyo picha hapo, vipi uki-refer tukio la escrow na maneno ya Mheshimiwa Rais wetu kuwa hajui lolote kuhusu escrow. Huoni hata kaaibu aibu kiaina moyoni. Wewe mwenyewe bila kuwa na mtu wa kukupambisha.
 
Umeeleza vzuri mkuu. Ila jaribu hata ukae peke yako mahala. utazame hiyo picha hapo, vipi uki-refer tukio la escrow na maneno ya Mheshimiwa Rais wetu kuwa hajui lolote kuhusu escrow. Huoni hata kaaibu aibu kiaina moyoni. Wewe mwenyewe bila kuwa na mtu wa kukupambisha.

tumekwisha mzoea! kama unakumbua inshu ya richmond alisema pia haijui mwishowe wakatishiana na mwenzie wa monduli na kufikia kusema awakukutana njiani.
kwa kifupi mh.dr.prof.ni msani hafai kabisa,baada ya kuigeuza ikulu ni taasisi ya kufanyia bihashara na kupiga dili zake.
 
Kweli kabisa. JAMII FORUM imekuwa kama ka department ndani ya UKAWA.

Sio hivo. Wengi wamejitambua. Wamekomboka wametoka huko. mmebaki wachache sana wenye mioyo migumu. Kama jf imekuwa hivyo unavyosema basi nawe uko UKAWA. kesho usisahau kuwahi kituoni kuidiliti sisiem serikali za mitaa.
 
Mleta mada unataka kutwambia nini?Photo doesn't prove anything!

True. Tena itakuwa photo shop imehusika hapo. Ila kama ni picha ya kweli basi prof anahusika moja kwa moja. Atafute busara tu ya kujilindia heshima ili amalizie muda wake aende.
 
Umeeleza vzuri mkuu. Ila jaribu hata ukae peke yako mahala. utazame hiyo picha hapo, vipi uki-refer tukio la escrow na maneno ya Mheshimiwa Rais wetu kuwa hajui lolote kuhusu escrow. Huoni hata kaaibu aibu kiaina moyoni. Wewe mwenyewe bila kuwa na mtu wa kukupambisha.

Najitahidi kujifunza baadhi ya mambo kupitia kuona, kusikia, kusoma, na hata kuangalia sinema ambazo ziko based on True Story....kuna wakati tunaweza kumuona kiongozi tikafikilia anajua jambo fulani ...kumbe MUNGU wangu jamaa wenye maslahi ufikia hatua wakamficha.

Sasa ili uwe Kiongozi aliyefanikiwa sana mojawapo ni uwezo wa kuwa na vyanzo vya habari ambavyo wewe mwenyewe una uhakika navyo na si kutegemea mlango wa chain of the command.

Kuna sehemu nilihadhiwa na Mzee mmoja kuwa Marehemu JK Nyerere alipokuwa akifanya ziara Mikoani, jioni baada ya kumaliza vikao na watandaji wa Chama na Serikali alikuwa anaagiza aletewe Mzee fulani na Fulani tena kwa kuwataja majina na wanapoishi.....Wazee wale wanatinga Ikulu ndogo ya Mwalimu,Inasemekana Mwalimu alikuwa akijifungia na Wazee wale walioko nje wallichokuwa wanasikia ni Kicheko cha Kikali Cha Mwalimu, huku awajui nini kinachozungumzwa na Mwalimu.Na waliokuwa wanashinda nae kwenye ukaguzi wa miradi ya jamii alikuwa hana tabia ya kucheka ...lakini akisha kaa jioni na wazee basi utasikia sauti ya kucheka muda huo.Binafsi nalazimika kukubali kuwa njia ile ilimsaidia Mwalimu Kupata UHALISIA wa mambo halisi ya eneo husika kwa undani kabisa, akichanganya na zile za command in chain basi kila kitu kinakuwa wazi.

Ndivyo hivyo hivyo hata kwa marehemu John F Kennedy ..kuna wakati viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya Taifa wakishirikiana na Mageneral Wa Jeshi, walikuwa tayari wameshajipanga kuingia kwenye VITA na USSR /CUBA wakati Marekani ilipokuwa kwenye COLD WAR miaka ya 1960s.Wakati Viongozi hao wakuu wakimtaka Rais Kennedy Kusaini Kuingia Vitani, Mungu si haba udadisi wake na kutokukurupuuka na kuangaika kutafuta mbinu na maarifa binafsi kujua ukweli halisi kwenye FIELD na kufahamu ukubwa wa tatizo kama ni kweli waingie kwenye Vita au la kuna namna nyingine yaweza kupatikana na kuwaepusha Marekani na Vitaa hiyo.

Kwa bidii binafsi na akishirikiana na mdogo wake Bobby, Rais Kennedy alifanikiwa kuepusha vita ile ya Marekani na Russia kwenye Guba ya CUBA na kuepusha dunia na VITA YA 3 DUNIA.Ulikuwa utundu na akili ya werevu kujua kuwa ata hao SUBORDINATE wako wakati mwingine wanaweza kukuingiza choo cha kike kwa kutegemea maslahi yao.

Kama sie tunavyopigwa machanga ya macho mitaani, hata hao viongozi wakubwa duniani nao wanaweza wakawa wanakula za uso vile vile kutegemea mazingira.Leo hii sakata la Rais wa Zamani Wa Marekani George Walker Bush si ajabu uenda nae Marekani kwenda Vitani ilikuwa ni ushauri mbaya pia.
 
hivi kufahamiana na watu nayo ni nongwa? mbona mnaandika kama vile mmebuya mataputapu. leteni ushahidi unaoeleweka kama ule wa Mkapa kujiuzia mgodi wa kiwira ili tuungane pamoja kumshambulia Kikwete. hapa naona chuki tu





wewe kweli ni bwe'ge
tunasema akina chenge ni wezi kwa sababu wizi wao unaonekana. mfano kwenye radar wizi wa chenge upo clear kabisa mpaka hata UK walishalisema hilo achilia mbali kama hii ya juzi ya escrow bil1.6. wizi wa Lowassa upo clear kabisa ndo maaana hata nyerere alimkataa kwenye urais. uliona nyerere akilikata jina la Kikwete mwanzoni kabisa mwa mchakato kama aliavyofanya kwa Lowassa?
mbona unaandika kama jisenge. boring.
wekeni wizi wa wazi wa Kikwete humu muone tutakavyomparua. sio kuandika huu usenge wenu humu wa kuunganisha picha eti kisha walipiga picha pamoja. .....bafu zenu.

Wewe ndo mzito kudetect mambo. Kuelewa huelewi hata picha pia huoni.?
 
Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo!

Ama kweli, hawakukutana barabarani
attachment.php

JF inatisha kama ukoma! Hata hii JF wanayo? Hapo JK kijana mbichi na Rugemalira pia bado kijana! Wanakutanishwa tena na Escrow
 
Back
Top Bottom