Picha: Kikwete na Rugemalira wa VIP Engineering hawajakutana barabarani

Sidhani kama kuna binadamu anayeweza kujitenga na binadamu wenzake halafu huyo huyo akaja kuwa kiongozi wa binadamu wenzake, lazima uishi katika dunia, nashangazwa sana na binadamu wanaojaribu kuishi katika dunia ya kusadikika kwamba wao hawana mawaa yoyote, unaweza kuwa na rafiki mtumia kilevi lakini wewe usiwe mtumiaji wa hicho kilevi ukawa unatumia kitu kingine tofauti,

sioni ajabu mtu fulani kupiga picha na fulani, sio lazima wawe washirika katika kila kitu, ni ajabu sana kuanza kuimplicate watu wengine kwa mambo fulani simply kwa picha tu, kama ni hivyo basi watanzania natusibirie rais ajaye atoke mars ambaye huyo hajawahi kuwa na ukaribu na binadamu wengine maana huyo hata kuwa na picha au watu wa kumhusisha nae.

Kwanini hakupiga picha na baba yangu akapiga na Rugemalila kama ni kigezo cha kutokujitenga na watu?
 
kumbe mh prof. alikua hajui kuupara au zile suit alizo ongwa ndiyo zina mtofautisha sasa na kipindi kile
Kwenye kuupara wewe wee chzea angaine hangu hagumu, hapo kwa zama zao aliyetinga viwalo vya ukweli vya enzi hizo ujiuji yani kileo tungesema yeye ndio mjanja down town,huyo mwingine suti ka Mbunge...
 
Ayaaa!!!Ama kweli tumeibiwa na mkulu mchana kweupee."HAPO ATOE WAPI UJASIRI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE ILHAL YAMHUSU KISHKAJI"???~~~CCM 'MAJANGA'.
 
Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo!

Ama kweli, hawakukutana barabarani
attachment.php


Huyo kulia siyo marehemu Mwakihaba alikuwa mhasibu?
 
Lahaulaah! Mimi nilijua tu,haiwezekani mafedha kuchotwa Benk kwa Lumbesa,maribolo,gunia,maboksi, kwa mifumo ya Benk ilivyo,It is Absolutely IMPOSSIBLE kama Hakuna Absolute Power engineering that syndicate.
Kikwete amini usiamini,huu wizi wa pesa za umaa hautakuacha salama,iwe leo au kesho ukiwa ndanio ya madaraka.
Take that to bank Mr Prof #Kikwete.
 
Mkuu Invisible hii picha nakumbuka ilishawahi kuwekwa humu,sema kwa kipindi kile watu hawakujua ni kina nani hao wa wiwili pembeni ya kikwete,Kumbe mmoja ni mzee wa mapesa windhoek/heinken ila mwingine naye atakuwa ni mdau wa IPTL either ni piperlink au PAP.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hakupiga picha na baba yangu akapiga na Rugemalila kama ni kigezo cha kutokujitenga na watu?
Haaa usimuonee kuhusu picha....Kama ni picha huyu Jamaa kapiga picha na watu wengi sana ....ukizingatia toka enzi za ujana na ubabyface na vituko vingine ...picha zikiletwa humu na watu tofauti tofauti ni nyingi...Ila ndani ya picha kama hizo ndio tunasoma nyuso za wengine walikuwa wana waza nini....kujenga Nchii au Kupiga deal, Mtonyo au michongo...Yeye anasmile kuona a bright future ahead watu wanaona RUMBESA.....kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom