Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Hii ndio nini mkuu.?
Hii ndio nini mkuu.?
Hahahaaaa.. [emoji2] [emoji2] [emoji2]![]()
Basi la upendo
Enzi hizo likifika tu ubungo basi watu wanajua limebeba "mayaya"
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh [emoji87]
Ulanzi
Hahaa hili jina haujalimalizia.Haya kama mafurahisha........
Hahahahaaa! Inaonekana umekula maandazi ya Makanyagio sana. Huyo mzee wa kichagga anaitwa Chuwa. Nilimuona, siku hizi ni dereva taxi.umetaja mkwawa ukasahau na mtaa ule enzi za mama uswege na mzee nelkoni bila kumsahau mzee 1 wa kichaga jina limenitoka lakini linaanza na N, mtaa 1 unaitwa makanyagio, mwembetogwa, ilala, wilolesi, don bosco mpaka pawaga daah
Hahahahaaa! Wazee wa kusimamisha "minazi" usawa huo.Na mzee Mgohamwende aka "Jeremani" yupo zake Nyamuhanga kata ya Kitwiru ametulia.mzee umenikumbusha mbali sana enzi zile eneo letu la roll calls na parade, enzi zile mkuu wangu wa shule akiwa mgohamwende na msaidizi wake mwangoka,
Duuh mkuu umenikumbusha maeneo yangu ya kujidai aisee,, naona administration block hapo...
Yuva sekilyenyi De, ulukalifya ulo, neke uve na lita ya ulasi pamilau kumgunda, ama uhanze na ng'ande.
Swawike uhulo. Inyamtutu!
Hahahahah, kuna jamaa alimpiga flash ya mkojo mchizi mox, aisee alilalamika hadi nikamwonea huruma, alikuwa anapandisha zile ngazi kati ya DH na Azimio akielekea akitokea kukagua half mile.Tosa Boys enzi hizo za Chalwe RIP na kina fyudo