Picha: Karibuni Iringa "Ugimbi mnywesage ila Pombe msinywe"!

Picha: Karibuni Iringa "Ugimbi mnywesage ila Pombe msinywe"!

0cb80cc56f98786350ded45aded81d79.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
mzee umenikumbusha mbali sana enzi zile eneo letu la roll calls na parade, enzi zile mkuu wangu wa shule akiwa mgohamwende na msaidizi wake mwangoka,
 
hii shule nasikia ilijengwa na waebrania aka waisrael, ile fitting yake ya umeme mpaka leo hakuna anayejua ilibidi watindue upya kuweka nyaya zao, nakumbuka enzi za lumumba west kwenda kubeba totoz magembe east na west, sijui bado majina ya mabweni ni hayo hayo au yalibadilishwa, nilikuwepo hapo enzi zile ina high school tu

Hapana ni mjerumani mkuu ndio aliyejenga kile chuo.

Majina yalibadilishwa mkuu baada ya kubadili kuwa chuo kikuu.
 
alikuwa anaitwa mfalamagoha ulanziwang'ombe mwakibasa, alikuwa ni headmaster pale mwembetogwa sec baadae akawa mbunge

Unaonekana ni mwenyeji sana mkuu.

Niliingia M'Togwa yeye akiwa ameondoka muda mrefu.

Tulipamwinga.
 
Hapana ni mjerumani mkuu ndio aliyejenga kile chuo.

Majina yalibadilishwa mkuu baada ya kubadili kuwa chuo kikuu.
aah okey, basi alijenga mkuu, nimesoma hapo miaka mi2, architectural yake ni kiboko na yale mahandaki yaliyokuwa yaliyokuwa chini kila bweni mvua ikinyesha mnapita chini chini mnatokeza pale eneo la assembly, ila nasikia kuna mwaka wanafunzi waliitisha mgomo na mwalimu 1 mwenye kihelehele akawafata wanafunzi wakiwa chini huko jamaa wakamrestisha in piisi na yale mahandaki kufungwa, ni story tulikuwa tunapewa
 
Back
Top Bottom