Picha: Karibuni Iringa "Ugimbi mnywesage ila Pombe msinywe"!

Picha: Karibuni Iringa "Ugimbi mnywesage ila Pombe msinywe"!

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,787
Njiapanda ya Ipogolo
4364594035f7acc7a35f0fb61ce9cdda.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipita Iringa usiku nikiwa naenda Mbeya, siku ya kurudi gari haikupanda huko juu town, nitafanya niwezavyo nifike Iringa mjini
 
kihesa, mwangata, ipogolo, makorongoni, ilala, kitwiru, sabasaba, mkimbizi, nduri, mwangata, kalenga, zizi la Ng'ombe, frelimo, mkwawa, tumaini, gangilonga, miyomboni, mashine tatu, mshindo kitanzini, acha iringa paitwe iringa bana miss sana home

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kupataja mabanda ya CCM au wewe Sio mpenzi wa ile kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepakumbuka beeee.
Sidhani kama nitakaa niisahau Iringani maisha yangu yote.
 
Back
Top Bottom