usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,900
Safi, nahisi hakuna foleni kabisa Iringa.
To accomplish much you must first lose everything..
Mayaya ndo nini?![]()
Basi la upendo
Enzi hizo likifika tu ubungo basi watu wanajua limebeba "mayaya"
Sent using Jamii Forums mobile app
Vee mwana mudesi....Nyumbani kihesa kila baada ya nyumba kilabu cha pombe za kienyeji. Pombe za kienyeji zimetusomesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi VIP? Twistas?
Ulikuja ukautembelea ili kuthibitisha hilo?Huu mji mdogo kwa kahama kumbe
Vipi supu ya mbwa inapatikana wapi kwa hapo town.It has been along time
great thinker
Wewe kula chochote ilimradi usione kinyaa!Vipi kuhusu ile mboga ambayo huku mikoani tunasikia hua mnaitumia ni kweli kiongozi au ni story tu
Sent using Jamii Forums mobile app
umetaja mkwawa ukasahau na mtaa ule enzi za mama uswege na mzee nelkoni bila kumsahau mzee 1 wa kichaga jina limenitoka lakini linaanza na N, mtaa 1 unaitwa makanyagio, mwembetogwa, ilala, wilolesi, don bosco mpaka pawaga daahkihesa, mwangata, ipogolo, makorongoni, ilala, kitwiru, sabasaba, mkimbizi, nduri, mwangata, kalenga, zizi la Ng'ombe, frelimo, mkwawa, tumaini, gangilonga, miyomboni, mashine tatu, mshindo kitanzini, acha iringa paitwe iringa bana miss sana home
Sent using Jamii Forums mobile app
hii shule nasikia ilijengwa na waebrania aka waisrael, ile fitting yake ya umeme mpaka leo hakuna anayejua ilibidi watindue upya kuweka nyaya zao, nakumbuka enzi za lumumba west kwenda kubeba totoz magembe east na west, sijui bado majina ya mabweni ni hayo hayo au yalibadilishwa, nilikuwepo hapo enzi zile ina high school tu