Safi sana, namna hii ndio inatakiwa..Kama una kazi ya Ujenzi nicheki nikufanyie kazi Yako +255624254690
Bei ya wazawa, huduma ya watalii
Maeneo gani mkuu ?Habari zenu wakuu!
Kazi pia ni Ibada, Kwa wale wataalamu wa maswala ya Dini watakuwa wanalelewa hili.
Karibuni tufanye Ibada.
+255624254690
View attachment 3429489View attachment 3429490View attachment 3429491View attachment 3429492
Nime save namba yako, soon nigaanza ujezi wangu hapo Dar es Salaam nina ki plot kangu baharini huko, na mie nime mwana Dar es Salaam. Nile mema ya TanzaniaNi maeneo ya Majohe mkuu! Karibu Sana.
Napatikana Dar es salaam mkuu.
Lakini nasafiri kwenda mkoa wowote kwenye kazi!
Karibu
Ahsantee!!
Kazi njuri mkuuHabari zenu wakuu!
Kazi pia ni Ibada, Kwa wale wataalamu wa maswala ya Dini watakuwa wanalelewa hili.
Karibuni tufanye Ibada.
+255624254690
View attachment 3429489View attachment 3429490View attachment 3429491View attachment 3429492
Ndio huyo juu?Mimi ni fundi mkuu, Kazi yangu ya Leo hiyo hapo.
Muda wa kula huu nikasema nipost kidogo kazi yangu