Picha: Johari ajifungua kwa siri

Picha: Johari ajifungua kwa siri

Hata mi naona sura ya ray ipo aisee, ingawa napataga shida kufananisha sura za watoto.

Sijui wenyewe, ila huwa nadhani Johari ni wife material among bongo movies

Uko vizuri inspector hata mimi katika hilo nimeliona johari ni wife material nadhani labda kwa sababu ni msukuma
 
why unawafagilia wasukuma mkuu?

Wengi wadada niliosoma nao na kufanya nao kazi wapo poa hawana shida kwa karesearch.kadogo nilikokafanya so km na wewe ni me nakushauri tafuta msukuma
 
Sasa umezaa...mtoto ana miezi saba...RAMADA HOTEL kunduchi... ulifata nini wewe johari na mwenzio uwoya....mkalala siku 3...si kubemenda huko....mpk vyumba namba watu walikariri
 
Sasa umezaa...mtoto ana miezi saba...RAMADA HOTEL kunduchi... ulifata nini wewe johari na mwenzio uwoya....mkalala siku 3...si kubemenda huko....mpk vyumba namba watu walikariri

Duh haya makubwa sasa
nifah, warumi na wengine mnajua haya??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom