Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Haaaaaaa jamani geniveroooo kha! Huyo mtoto anafanana na Ray hutaki unaacha tu.
Haya sasa yaleyale ya Chris Brown na Karruache....
kila la heri mine
nna neno bass
Haaaaaaa jamani geniveroooo kha! Huyo mtoto anafanana na Ray hutaki unaacha tu.
Haya sasa yaleyale ya Chris Brown na Karruache....
Sura ya Ray iyoo.. Safi... Johari.
hivi walikuwa bado wako kwenye mahusiano eeh?
Sasa nimepata jibu kwa nini IDRISSA SULTAN aliweka ile Instagram ile clip inayomuonyesha RAY akishukuru watu waliompa tuzo na kumshukuru mpenz wake CHUCHU!!!Idriss alicheka saaaaanaaaaaa!!
Kweli hii ni Noti Raiti!!
Ray kwa sasa yuko na Chuchu Hans na nitokea mwaka juzi nafikiri.
Ila huyo mtoto ni wake, jiongeze hapo....
Alicheka kwa ajili ya kiingereza kibovu, alisema anamshukuru gero friend wake badala ya girlfriend
Hata mi naona sura ya ray ipo aisee, ingawa napataga shida kufananisha sura za watoto.
Sijui wenyewe, ila huwa nadhani Johari ni wife material among bongo movies
Yeah, kwa mtazamo wa nje hilo halina shaka.
Ila Ray anayemjua kiundani sijui kwanini hua anasitasita kumchukua jumla, huenda kuna tusiyoyajua..lol
Unais nn
Ila pua kama kweli halafu ukiangalia vizuri upande mmoja mrefu mwingine mfupiMie sihisi chochote bwana binamu, just saying. ...
Hivi unaijua acc ya linda_mrsmali huko instagram? Nimecheka mange anavyochambwa na Linda jamani sina hamu.
Hasa ile picha ya alivyofanya surgery ya kuongeza makalio....lol
Niliona ile video khaa ray anajiaibisha kweli
Mie sihisi chochote bwana binamu, just saying. ...
Hivi unaijua acc ya linda_mrsmali huko instagram? Nimecheka mange anavyochambwa na Linda jamani sina hamu.
Hasa ile picha ya alivyofanya surgery ya kuongeza makalio....lol
Kah kumbe naye kajifanyia surgery ya makalio. Majanga ndo kuna sehemu baada ya Linda Ku post nyumba yake kaandika gazeti refu hilo .
Niliona ile video khaa ray anajiaibisha kweli
Ila pua kama kweli halafu ukiangalia vizuri upande mmoja mrefu mwingine mfupi