Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,370
Nani huyo kanichamba nimuibukie maana nina hasira za tuzo ya juzi yan nitaua mtu, ngoja niende
Hahahahahaa nenda ukaone.Ila ni mashabiki wa ndomo tu waoga kama kitu gani sijui.
Kazi ya kufungua fake ID tu kuja na hizi za siku zote hawathubutu.