Picha: Johari ajifungua kwa siri

Picha: Johari ajifungua kwa siri

Sasa umezaa...mtoto ana miezi saba...RAMADA HOTEL kunduchi... ulifata nini wewe johari na mwenzio uwoya....mkalala siku 3...si kubemenda huko....mpk vyumba namba watu walikariri

Sitaki mieee, nilimuona johari kaweka mipicha uko insta yani balaaa, ila mambo ya show off johar hayawezi, hawaachie akina mama ubaya tu, maana hapendezi
 
Duh haya makubwa sasa
nifah, warumi na wengine mnajua haya??

NIliona picha johar aliweka insta nikajiuliza kunani, nikajua labda ndo mambo ya location kumbe wapo kikazi zaidi mmh
 
Last edited by a moderator:
NIliona picha johar aliweka insta nikajiuliza kunani, nikajua labda ndo mambo ya location kumbe wapo kikazi zaidi mmh

Binamu hivi Katauti aligoma kabisa kumrudia uwoya baada ya ile skendo ya kufumwa hotelini na domo?
 
Binamu hivi Katauti aligoma kabisa kumrudia uwoya baada ya ile skendo ya kufumwa hotelini na domo?

Nop, japokuwa sidhan kama walipeana talaka, ila uwoya anaendaga kwa mumewe, mwaka jana nadhan alienda ila sina uhakika kama wapo wote...
 
Duh haya makubwa sasa
nifah, warumi na wengine mnajua haya??

Mimi pia niliiona hiyo picha ila kwa tabia ya Uwoya ya ulesbian napatwa na kigugumizi kidogo, au labda walifuata madanga, who knows?
Watu na maisha yao bwana....
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia niliiona hiyo picha ila kwa tabia ya Uwoya ya ulesbian napatwa na kigugumizi kidogo, au labda walifuata madanga, who knows?
Watu na maisha yao bwana....

hivi huyu mdada hii tabia kweli anayo eeh, nasikia watu wanasema sema mi nikajua pengine wanampakazia tu
 
hivi huyu mdada hii tabia kweli anayo eeh, nasikia watu wanasema sema mi nikajua pengine wanampakazia tu

Ohooo, ngoja nimuite Madame B akupe kisa chake vizuri...
Mimi nilichoka! Ila hii tabia kwa sasa sio ajabu wadada wengi wameharibika sana.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa , mwigizaji wa kitambo Bongo , Blandina William Chagula ‘ Johari ’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa , jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito , Risasi Jumamosi linakupa ‘ exclusive story ’ .

UBUYU WAMWAGWA

Mwandishi wetu akiwa katika majukumu yake ya kila siku, ghafla alipigiwa simu na chanzo chake cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa Johari na kuanika kila kitu huku kikiomba hifadhi ya jina.
Mtoto wa Johari .
Sosi : Wewe ( kikitaja jina la mwandishi ) una habari?
Mwandishi : Zimejaa tele lakini hiyo yako inaweza kuwa ya muhimu zaidi .

Sosi : Tena ni muhimu kweli , unajua kuwa Johari ana mtoto na sasa anatimiza miezi saba?
Mwandishi : Unasema ? Kajifungua lini na wapi ?

Sosi : Kitambo tu, mbona hata kwenye ukurasa wake wa Instagram kaweka hizo picha , kwani hamjaingia huko ?

Mwandishi : Ok , ok , nashukuru kwa taarifa.
Chanzo hicho kilisema kuwa , Johari alinasa mimba mwezi Machi , mwaka jana na kufanya siri kwa kutoonekana mara kwa mara na ilipofikisha muda wa kujifungua yaani mwezi Desemba alikwenda kujifungulia nyumbani kwao , Kijiji cha Ngokolo mkoani Shinyanga .
Huko alikaa kwa muda wa miezi minne na kurudi Dar kwa siri ambapo mtoto alitafutiwa mlezi maalum akishirikiana na mama mzazi wa Johari (jina linahifadhiwa ).
Wakati hayo yakiendelea , ilisemekana kwamba Johari alikuwa akipigana usiku na mchana kutunza siri hiyo ikiwemo kutoruhusu watu wengi wakiwemo jamaa na marafiki kufika nyumbani kwao , Ubungo , Dar .

JOHARI ASAKWA KILA KONA

Baada ya mwanahabari wetu kupata ubuyu huo , alianza harakati za kumsaka Johari kwa njia ya simu ya kiganjani lakini hakupatikana na kuamua kwenda hadi ofisini kwake, Sinza- Mori jijini Dar .
Alipokutwa ofisini kwake, RJ, Johari alibanwa juu ya madai hayo ambapo awali , alikataa kwa kutikisa kichwa huku akisindikiza na maneno ya kutaka kuheshimiwa.
“Hakuna kitu kama hicho na kama huna kingine cha kuuliza , naomba uniache nina majukumu mengi mezani kwangu , ” alisema Johari huku akimtazama mwandishi wetu kwa jicho la ‘ niondolee umbeya wako hapa ’ licha ya mwandishi wetu kubaini mabadiliko mwilini mwake ikiwemo kunawiri kulikopitiliza .

UCHUNGUZI ZAIDI

Mwandishi wetu hakuridhika na majibu ya msanii huyo ndipo akaamua kuingia kwa undani na kina zaidi kutafuta data za kutosha ili kujua lipi ni tui na yapi ni maziwa juu ya utata wa habari hiyo.
Mwanahabari wetu alianza kwa kuwapeleleza watu wa karibu wakiwemo wafanyakazi wenzake na kubahatika kupata maelezo ya kina zaidi kutoka kwa mmoja wa rafiki mwingine wa Johari na kuyalinganisha na yale ya sosi wa kwanza na kubaini ukweli halisi .
“Huyo (Johari ) asiwadanganye kabisa , ukweli ni kwamba alijifungua mwezi Desemba , mwaka jana kuelekea Krismasi na alikwenda kujifungulia kwao Shinyanga.

RISASI LAMRUDIA JOHARI

Kama mjumbe wa nyumba kumi, mwandishi wetu hakuchoka hivyo aliamua kumtafuta tena Johari huku safari hii akitumia mbinu za ndani za taaluma yake (uandishi) ambapo alimtega Johari kuwa anamhitaji kwa shida nyingine na kuomba miadi ( appointment ) ya kukutana naye .
Johari akiwa na mwanaye katika picha tofauti .

AINGIA , ATOKA

Katika kupanga mahali na wakati wa kuonana, huku mwandishi wetu akiwa na ushahidi wa picha zikimuonesha Johari akiwa na mtoto wake na nyingine zikimuonesha mama yake Johari akiwa na mjukuu wake .
Hata hivyo , msanii huyo alileta upinzani mkali wa kukutana na mwandishi wetu na wakati mwingine kukubali kwa masharti mazito ikiwemo kutokuwa na kamera wala kifaa chochote cha kurekodia sauti , kitendo ambacho huitwa na vijana wa mjini kuingia na kutoka .

AWEKWA CHINI YA ULINZI

Baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu, hatimaye walikubaliana kukutana Sinza- Mori na kuanza mazungumzo huku mwandishi akimuanzia mbali kabisa kwa kutumia saikolojia ya kiuandishi na bila kujishtukia, ghafla Johari alijikuta akiingia mwenyewe kwenye mtego na kujikuta akikiri kuwa amezaa na mtoto ana umri wa miezi saba sasa

AWA MDOGO KAMA PIRITONI

Kwa kubanwa na maswali mazito na muhimu , Johari alijikuta akiwa mpole na mdogo mithili ya kidonge cha piritoni na kuamua kuweka wazi kila kitu licha ya kutumia mbinu za ‘ mfamaji ’ .
“Lakini jamani , mimi si mwanamke ? Sasa kama ni hivyo kuzaa ni jambo la ajabu au mlitaka niutangazie ulimwengu wote kuwa nimebeba mimba na sasa nimezaa ?” alihoji Johari.

JINA LA MTOTO LAFANANA NA LA MAMA RAY !

Huku akimkazia macho usoni , ‘ karani ’ wetu alimuuliza Johari jina la ‘ anko ’ wake ambapo kwa uso uliochoka , msanii huyo alilitaja kuwa anaitwa Maria na ndipo mwandishi wetu akaibua swali jipya

NI MTOTO WA RAY ?

Mwandishi alishtuka kusikia jina la anko wake kwani hata mama mzazi wa aliyewahi kudaiwa kuwa mwandani wake ambaye ni mkurugenzi mwenzake Johari , Vincent Kigosi ‘ Ray ’ anaitwa Maria Kigosi .
Mwandishi : Kwani ni mtoto wa Ray ?
Johari: (akikunja ndita) achana na mimi, nina kazi nyingine siko tayari kuendelea na mazungumzo .

Mlikua nnataka aweke bango kuwa anajifungua.???
 
Ohooo, ngoja nimuite Madame B akupe kisa chake vizuri...
Mimi nilichoka! Ila hii tabia kwa sasa sio ajabu wadada wengi wameharibika sana.

Ile ya kunyonyana visimi arusha na wema au? Ahahahha ebu nipe umbea aiseh
 
Last edited by a moderator:
Ile ya kunyonyana visimi arusha na wema au? Ahahahha ebu nipe umbea aiseh

Mhhhh! Binamu hii mpya kwangu!
Wewe nae hukumbuki ule umbea tuliopewa na Madame B kule kwenye uzi wa bar ya Jay Dee?
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! Binamu hii mpya kwangu!
Wewe nae hukumbuki ule umbea tuliopewa na Madame B kule kwenye uzi wa bar ya Jay Dee?

Mwenzang nikumbushe maana nina umbea kumi kidogo apa
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia niliiona hiyo picha ila kwa tabia ya Uwoya ya ulesbian napatwa na kigugumizi kidogo, au labda walifuata madanga, who knows?
Watu na maisha yao bwana....

Weeee uwoya lesbian???...walikuwa room tofauti kila mtu....walikua na madanga yao sio bure..siku tatu wanafanya nn...kwanza huyo uwoya now anatoka zee linaloweza kumzaa...mmiliki wa cata.....nya na mama yake nae ni km anamuuza mwanae tu...mana mabwana wa mwanae anawaalika mpk kwake...hovyoooo
 
Kumbe hujui kama uwoya lesbo eeh? Mhhhh, hiyo habari ya jizee ndio naisikia sasa.
Hizi pesa zitasababisha wafiwe na wazee vifuani jamani...khaaa!
Huyo mama nae mshenzi tu, mama mwenye maadili hawezi kumruhusu mwanae kufanya ujinga kama huo.
 
Ndio hivyo mydia.....yuko na jizee hilo saiz ya babake ...ula hana danga mojayule
 
Ndio hivyo mydia.....yuko na jizee hilo saiz ya babake ...ula hana danga mojayule

Ni kweli mwaya.Masikini Ndikumana alilipenda kweli hili gumegume lakini alichokipata anakijua mwenyewe.
 
Weeee uwoya lesbian???...walikuwa room tofauti kila mtu....walikua na madanga yao sio bure..siku tatu wanafanya nn...kwanza huyo uwoya now anatoka zee linaloweza kumzaa...mmiliki wa cata.....nya na mama yake nae ni km anamuuza mwanae tu...mana mabwana wa mwanae anawaalika mpk kwake...hovyoooo
Huyo mzee si alitoka na madame akampa laki nane
 
Back
Top Bottom