Picha: Johari ajifungua kwa siri

Picha: Johari ajifungua kwa siri

Nishampata yeah madame sepetunga

Maaaaamaa weee lini hiyo...yule mzee kwa totoz ni htr..tena hana mke....ila uwoya kadum nae tangu mwaka jana...wana mwaka na kitu..last year uwoya alienda south trip...alipelekwa na zee
 
Bongo movie wana share mabwana kama hawana akili nzuri
 
Attachments

  • 1432748978942.jpg
    1432748978942.jpg
    45.9 KB · Views: 330
  • 1432748993397.jpg
    1432748993397.jpg
    31.2 KB · Views: 328
Uwoya anamuaribu mwenzie huyu

Eeeexaaaaactly....and johari looks unhappy...
Halafu ni anabebwa bebwa tu...mwenzie amekaa kikahaba yy anajifunza ht sura inaonekana
Ht huyo mtoto sio wake tunadanganywa tuu
 
Kwa nn binamu
 
Kwa nn binamu

Yn kajificha mimba..mpk mtoto...
Kupiga picha na mtt wa mtu pia inawezekana ht sisi tuna dada na kaka wenye vitoto
Tunaweza uza navyo sura..tuone pic za mimba km kina hamisa na mboni tutaamini hibi hivi nope
 
Unaweza kuta kadaganya aiseee.
 
Kumbe jee...
Snura kaficha mimba kajifungua lkn tukaona tbt za mimba kichanga
MbonI na hamisa pia si hao mwsho tumejua ooh kumbe walibeba mimba...kiukweli

Kweli umeongea ukute katupiga changa la macho atupie picha za mimba tumuone ka ni kweli.
 
Unaweza kuta kadaganya aiseee.

Mamii cio unaweza kuta, uhalisia huyo mtoto cio wake ni wa mdogo ake toka nitoke,na hilo jina la mtoto alilosema kuwa anaitwa maria, alikuwa anawazingua GPL ili wahisi ni kweli coz hilo jina ni la mama ake greatest a.k.a chura.
 
Hahaaa Johari ni kiboko aisee au alikua ana mrusha roho Ray loh. Kumbe ni wa mdogo wake.
 
Hawezi kumrusha roho ray coz c wanashinda wote hapo kwa kina ray sinza mori kwenye ofisi yao, kwa hiyo lazima anajua kuwa alikuwa hana kibendi. Anataka kutoa muvi so anaandaa mazingira.
 
Itakua naye ana project anaitaftia kiki.
 
Back
Top Bottom