Bravo Mike
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 576
- 671
Asante strong ruler, ungetufanyia hisani ya kutuambia locations zake pia.
Next time nita add na loction samahani kwa usumbufuAsante strong ruler, ungetufanyia hisani ya kutuambia locations zake pia.
Kennedy ndugu yangu jina limenitoka.Ile Ya Brazil Inaitwaje ?
He mkuu umeweka akilini hilo tuInteresting...hadi kuna mtu anavuliwa chupi
Hicho kilichotenganisha kama Kamba actually sio kamba ni some-sort ya kitu kama Chuma hivi, na hayo unayoyaona kama mawe wala sio mawe, hiyo ndio kazi ya sanaaHiyo mawe mawili kutenganishwa na kamba kwenda juu nahisi ni fotoshop tu.
hata sanamu za jamaa flani anaitwa Lusewa pale msewe zijazionaMbona zile sanamu za UCHI wa mnyama (Naked). Za pale France, Italy, Germany and England amjaziweka
Dahh mkuu shukrani sana, endelea kutuletea hivi vitu aisee, full burudaniHahaha ajabu sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Msaga Sumuhata sanamu za jamaa flani anaitwa Lusewa pale msewe zijaziona