Kwanza walinzi wangeshindania kumdaka, then kitakachoendelea baadae angejuta kuzaliwa.Huyo mama saizi angekua ayupo katika uso wa dunia
Una uhakika gani kama ni msafara was Rais Trump?![]()
Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."
Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake Chumbe kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!
Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell aliyemuingiza Rais Zuma dole, wakaondoka nae.
Source:
Mkuu, mbona yako mengi tu ya kuiga, mfano ushoga!?![]()

Ujinga ni kufananisha Tanzania na Marekani, umeamua kufunua ujinga wakoThat's another thing.
Kamwe hawafungi barabara eti Rais anapita.
Huku kwetu mtu hata hajaondoka mjini, yuko Ikulu anaoga, watu wa Chanika, Chang'ombe, Gongo la Mboto, Vingunguti, Buguruni, Temeke Vetenari, mnasubiri mshafungiwa barabara rais anapita.
Barabara ikisafishwa completely na mwendo ule wa misafara ni dakika 15, 20 tu kutoka mjini mpaka Airwing pale. Sasa kwa nini tunazima magari masaa mawili tunasubirishwa Rais anapita? It means wakati mnapoanza kusimamishwa huwa yuko Ikulu anaoga au bado kalala na mkewe! Kwani uongo?
Eti Rais wa Wanyonge. Unajali wanyonge kweli wewe?
Una uhakika gani kama ni msafara was Rais Trump?
Mkuu humu Jf kuna vijana wapuuzi na mazumbukuku mnoo, wajinga wa mwisho ambao wameamua kugeuza maana ya Jf kuwa home of GTK kabisa, najiuliza kama huwa wanasoma vitabu vinavyoelezea siasa ya dunia na uhalisia wake, vijana ambao wao ni kuitika mdundo wa ngoma tuuuNje ya kamera hilo jambo hata kwenye jamii za Wamarekani halikubaliki na unaweza ukachukuliwa hatua za kisheria...........au kama ni kwenye maeneo yenye vurugu kama Detroit au Michigan inaweza kupelekea kupoteza uhai........
Ni mambo yanayorushwa kwenye mitandaoni au media ili kupromote jambo fulani..........
Wamarekani wenyewe ni maadui wa demokrasia ingawa wanajitanabaisha ulimwenguni kuwa na wakomavu wa demokrasia.......
Jiulize wako wapi wale wana vugu vugu waliokuwa wakichochea kujitenga kwa jimbo la California.....!!?
Lakini wao wapo mstari wa mbele kupigania kujitenga jimbo la Tibet na Taiwan huko Uchina........huku wakiwasihi watu wa Catalunya wasijitenge na Uhispania......
Ujinga ni kufananisha Tanzania na Marekani, umeamua kufunua ujinga wako
Rais yupi anaruhusu kukosolewa? Kosoa ufuatwe na risasi 38!Kila nchi na utaratibu wake... Tanzania unaruhusiwa kumkosoa Rais lakini siyo kumtusi
Lumumba robots at workAngekuwa anaimba "poliiiiisi msitupige CHADEMA sisi ni manyuuuuumbruuu ya ufipa".....teh
Kwani kichwa mchongoko ni babayako!!???Wenzio haya mambo hata kwenye familia zao yapo .....sasa na wewe anza kumuingizia dole babako aliekuzaa hapo kwenu uje na ushahidi hapa alafu ndo tujadili hoja yako.
shubaaaamit