Picha: Itatuchukua miaka 500 kumuonyesha rais dole!

Picha: Itatuchukua miaka 500 kumuonyesha rais dole!

Hivi neno linakuwa tusi katika mazingira gani. Mbunge mmoja alisema waziri mkuu ni mpumbavu. Wakampeleka mahakani. Mahakama ikasema sio tusi. Rais akiwa jukwaani kuwasubiri madiwani "waliojiuzulu" kisha kutotokea tulimsikia akisema ni wapumbavu kabisa! Pia Rais alisema wale wanafunzi waliofukuzwa Udom walikuwa ni vilaza. Hakupekwa mahakamani. Mtu mmoja baadaye akasema rais ni kilaza namba moja. Akapelekwa mahakani na kuhumiwa kifungo miezi 6 au faini mil 5 Akalipa faini. Pro CCM wanapenda kuwaita wapinzani nyumbu. Hili kwao sio tusi. Lakini kesho mtu akimuita mwanaccm nyumbu ghafla tutaambiwa ni tusi. Mkuki kwa nguruwe
Nakubaliana na wewe! Wanatumia kigezo kuwa DPP ana discretion kubwa nani ampeleke mahakamani na nani amuache. Ni kosa kubwa kumpa madaraka ya kiwango hicho.
 
b5a8707309f1592b2384643cd2bbbaa8.jpg
 
4028.jpg

Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."

Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake Chumbe kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!

Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell, wakaondoka nae.

Source:
Taso hivi ni kweli huo ni msafala wa Rais Trump? Mbona hakuna hata bendera ya Rais kwenye gari hiyo?? Na gari ina namba za kawaida?? Nauliza tu ili nijiridhishe kabla sijaanza kuchangia rasmi.
 
Kuendelea we Unamaanisha nini. Ushoga ruksa. Kutukana ruksa. In this connection what do you mean kuendelea Nyanja zote
Kwako tusi ni la upande moja!! Yale ya Mkapa yalikuwa ni tenzi za rohoni?! Kama kiongozi mkubwa kama yeye anatamka maneno yale wananchi wake watajibuje?!

Ushoga na usagaji ni ulemavu wa mtu binafsi. Na hata ikiwaje wewe si wa kumhukumu mtu sababu ya ulemavu wake, bali Mungu aliyeruhusu hali hiyo kwake!!
 
Taso hivi ni kweli huo ni msafala wa Rais Trump? Mbona hakuna hata bendera ya Rais kwenye gari hiyo?? Na gari ina namba za kawaida?? Nauliza tu ili nijiridhishe kabla sijaanza kuchangia rasmi.

Sasa bendera itatundikwa nyuma ya gari jamani?

Kama ni plate namba za kawaida ni kwa sababu wenzetu hawawageuzi viongozi wao kuwa miungu watu. Huo ni msafara wa Donald Trump for real na hakuna aliyefukuzwa barabarani na watu wamempa dole, na hakuna aliyekamatwa. Hapa kwetu Magufuli anatukana raia, Mkapa anatukana raia, wao wakitukanwa wanakamata.

Kwa wenzetu Trump linatukana na mijitu inalitukana back. Wote wanatulia maisha yanaendelea.

Epitome of free speech democracy.
 
Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."

Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake ni ufukwe wa Atlantic and Pacific Ocean kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!

Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell, wakaondoka nae.

Source:

Ai wishi I kudu du zat
 
We unajuaje kuwa kalala na nkewe? Wewe pia ni mmojawapo wa masikini na wanyonge anaowajali

Najua anakuwa bado yuko Ikulu kalala kwa sababu barabara ikiwa nyeupe ni dakika 15 mpaka 20 kutambaa na Nyerere road mjini mpaka Airport kwa spidi zile za misafara. Sasa njia inafungwa masaa mawili kabla msafara haujapita, it means he was still canodling in bed wakati wanaanza kutusimamisha. It is that simple.

Yani masaa mawili ya raia kwako is nothing, takatata, hujali. Unasema unajali raia?
 
Sasa bendera itatundikwa nyuma ya gari jamani?

Kama ni plate namba za kawaida ni kwa sababu wenzetu hawawageuzi viongozi wao kuwa miungu watu. Huo ni msafara wa Donald Trump for real na hakuna aliyefukuzwa barabarani na watu wamempa dole, na hakuna aliyekamatwa. Hapa kwetu Magufuli anatukana raia, Mkapa anatukana raia, wao wakitukanwa wanakamata.

Kwa wenzetu Trump linatukana na mijitu inalitukana back. Wote wanatulia maisha yanaendelea.

Epitome of free speech democracy.
Mkuu kama ndiyo hiyo huyo dada amefukuzwa kazi na hiyo ni mwanzo tu... kuna mengine yanafuata!
 
Woman who gave Trump the middle finger fired from her job
The Guardian
Joanna Walters7 hrs ago

A woman whose picture went viral after she raised her middle finger at Donald Trump as his motorcade passed her on her bicycle has been fired from her job.

Related: Hail to the chief: cyclist gives Trump the middle finger

Juli Briskman was cycling in Virginia last month when she offered the gesture in a gut reaction to Trump’s policies, she said.

“He was passing by and my blood just started to boil,” she told the Huffington Post. “I’m thinking, Daca recipients are getting kicked out. He pulled ads for open enrollment in Obamacare. Only one third of Puerto Rico has power. I’m thinking, he’s at the damn golf course again.

“I flipped off the motorcade a number of times.”

A photographer traveling with the presidential motorcade snapped Briskman’s picture and the image quickly spread across news outlets and social media. Many hailed Briskman as a hero, with some saying she should run in the 2020 election. Late-night comedy hosts also picked up the story.

Briskman had been working as a marketing and communications specialist for a Virginia-based federal contractor, Akima, for six months. She thought it best to alert the HR department to the online fuss. Bosses then called her into a meeting, she said.

“They said, ‘We’re separating from you,’” Briskman told the Huffington Post. “‘Basically, you cannot have lewd or obscene things in your social media.’
 
4028.jpg

Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."

Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake ni ufukwe wa Atlantic and Pacific Ocean kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!

Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell, wakaondoka nae.

Source:
vipi wewe unaweza kumuonyea baba yako dole?
 
Nchi ya waliondelea kila nyanja raia ana uhuru mkubwa sana katika nchi ; [HASHTAG]#NchiYaLiberal[/HASHTAG]
Iga uone
 
Woman who gave Donald Trump the middle finger fired from her job
Source: yahoonews
 
Back
Top Bottom