Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."
Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake ni ufukwe wa Atlantic and Pacific Ocean kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!
Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell, wakaondoka nae.
Source: