Picha: Itatuchukua miaka 500 kumuonyesha rais dole!

Picha: Itatuchukua miaka 500 kumuonyesha rais dole!

Na tofauti nyingine ni kuwa, ingekuwa rais wa afrika, huyo bibie na wengine wote ni marufuku kutumia barabara kwa masaa, mpaka wao wapite. Wenzetu rais atumie barabara au la haiwapotezi muda wa kuendelea na shughuli zao.
 
Hilo jambo halihusiani na ukomavu wa demokrasia bali ni upotofu mkubwa wa maadili.......ni vitu ambavyo si vyema kuigwa kwenye jamii zetu za kiafrika ambapo walau tuna chembe za maadili........

Kuna aina nyingi za ku onyesha kutokubaliana na mtu lakini si kwa kumtusi....kwani nje ya tofauti zenu za kisiasa huyo mtu ana ana familia inayomtazama kama kioo.....
 
Na tofauti nyingine ni kuwa, ingekuwa rais wa afrika, huyo bibie na wengine wote ni marufuku kutumia barabara kwa masaa, mpaka wao wapite. Wenzetu rais atumie barabara au la haiwapotezei muda wa kuendeleza na shughuli zao.


That's another thing.

Kamwe hawafungi barabara eti Rais anapita.

Huku kwetu mtu hata hajaondoka mjini, yuko Ikulu anaoga, ana safari ya Airport, watu wa Chanika, Chang'ombe, Gongo la Mboto, Vingunguti, Buguruni, Temeke Vetenari, mnasubiri mshafungiwa barabara rais anapita.

Barabara ikisafishwa nyeupe na mwendo ule wa misafara ni dakika 15, 20, tu kutoka mjini mpaka Airwing pale. Sasa kwa nini tunazima magari masaa mawili tunasubirishwa Rais anapita? It means wakati mnapoanza kusimamishwa huwa yuko Ikulu anaoga au bado kalala na mkewe! Kwani uongo?

Eti Rais wa Wanyonge. Unajali wanyonge gani we mzee?
 
Nje ya kamera hilo jambo hata kwenye jamii za Wamarekani halikubaliki na unaweza ukachukuliwa hatua za kisheria...........au kama ni kwenye maeneo yenye vurugu kama Detroit au Michigan inaweza kupelekea kupoteza uhai........

Ni mambo yanayorushwa kwenye mitandaoni au media ili kupromote jambo fulani..........

Wamarekani wenyewe ni maadui wa demokrasia ingawa wanajitanabaisha ulimwenguni kuwa na wakomavu wa demokrasia.......

Jiulize wako wapi wale wana vugu vugu waliokuwa wakichochea kujitenga kwa jimbo la California.....!!?

Lakini wao wapo mstari wa mbele kupigania kujitenga jimbo la Tibet na Taiwan huko Uchina........huku wakiwasihi watu wa Catalunya wasijitenge na Uhispania......
 
Kwanza huku kwetu inawezekana vipi uwe hapo barabarani wakati mheshimiwa anapita??
 
Angekua tz hapo jirani na gari za raisi angekuwa ashatolewa zamani
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom