[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wenzio haya mambo hata kwenye familia zao yapo .....sasa na wewe anza kumuingizia dole babako aliekuzaa hapo kwenu uje na ushahidi hapa alafu ndo tujadili hoja yako.
shubaaaamit
So unatamani nchi yetu iwe ya kuoneshana madole sio?![]()
Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."
Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake Chumbe kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!
Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell aliyemuingiza Rais Zuma dole, wakaondoka nae.
Source:
Dhana tu zako hizo.Rais yupi anaruhusu kukosolewa? Kosoa ufuatwe na risasi 38!
So unatamani nchi yetu iwe ya kuoneshana madole sio?
UPUMBAVU, USENGE, USHOGA ULOFA NA UKUMANINA WA MAREKAN UNATAKA ULETE TANZANIA??ANZA NA BABA YAKO KWANZA UNAPOST UOZA KUSHABIKIA WENDAWAZIMU![]()
Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole."
Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita wote duniani, lakini nguvu zake za kibabe mwisho wake Chumbe kwa kwenda mbele, hazingii ndani ya nchi, juu ya raia. Kumpinga Rais kwa namna yeyote ile "ruksa"!
Kwa hapa Afrika huyo mama angekamatwa angemeza hiyo baiskeli. Iliwahi kutokea South Afrika mwaka 2010, ma bodyguard wa Jacob Zuma waliruka kwenye magari wakambeba raia Chamani Maxwell, wakaondoka nae.
Source:
Sababu tu USA inaruhusiwa na sisi tuige? US mtoto na Baba wanatukanana vp tuige na hiyo, muonye Baba yako kwanza home akiona sawa labda TZ pia itakua ruksa. USA ushoga ni legal vp tuige na hiyo?
Hapana, tusiige kila kitu, bali yale mazuri tu, kama hili la kuruhusu kumpinga Rais kwa gesture zinazotumiwa na raia dhidi ya raia wa kawaida wanavyopingana mtaani.
Okay, na wewe jaribu ku deal na hili swali ambalo kati yenu watetezi wa Rais hakuna aliyeweza kunijibu siku ya tatu leo:
Huo utamaduni wetu wa kutotukana unamlinda kila Mtanzania au ni utamaduni kwa mtu mmoja tu, Rais?
Tunatofautiana tamaduni, hatufanani kwa kila kitu;; na ww ukoo wako unataka uchukue miaka mingapi kufanya hilo kwa wazaz wao?