Picha: Itatuchukua miaka 500 kumuonyesha rais dole!

Picha: Itatuchukua miaka 500 kumuonyesha rais dole!

Yaani huyo mwanamke kuonesha Dole ka kati "tusi" na raia kuitwa wapumbavu "tusi" unatenganishaje?
Wote wametukana sasa kwanini wasijadiliwe kwa pamoja?
Unaonekana hujasoma hadi mwisho nilichokujibu.

Kosa moja halifanyi kosa jingine lisiwe kosa(A mistake doesnt make another mistake right).

Rais akitukana ni kosa linalohitaji kutafutiwa njia za kisheria ili kuondokana nalo.Lakini kitendo cha rais kutukana huku akilindwa na sheria sio kigezo cha kuruhusu makosa mengine yanayodhibitiwa na sheria za sasa yapewe nafasi mfano kumtukana rais.
 
Okay, sawa.

Huo utamaduni wetu unamlinda kila mtu dhidi ya matusi au ni utamaduni wa tabia ya Mtanzania dhidi ya Rais tu?
sio kila kitu cha kuiga!..utamaduni wao unaruhusu ushoga, wako unaruhusu?.
 
Kila nchi na utaratibu wake... Tanzania unaruhusiwa kumkosoa Rais lakini siyo kumtusi
Tanzania hii hii ya viwanda? ''Ukimkosoa'' Rais, tutakuja na sheria ile ya takwimu na waweza kufungwa angalau miaka miwili. Rais wetu ''hakosolewi''. Anachokisema immediately kinageuka kuwa sheria na au/amri.
 
Kwahiyo Tafsiri yako ya demokrasia ni Madole?? Ama kweli kumridhisha kila mtu sio jambo rahisi.
 
Bashite na kikosi chake maalum wanakubeba hapo huku wanalia sana tu. Uzuri wake itapunguzia ndugu gharama za mazishi maana hutaonekana.
 
Wenzio haya mambo hata kwenye familia zao yapo .....sasa na wewe anza kumuingizia dole babako aliekuzaa hapo kwenu uje na ushahidi hapa alafu ndo tujadili hoja yako.
shubaaaamit
[emoji23] [emoji23] kwamba baba ake akikubali ndo aje kumuingiza dole rais
 
Kila nchi na utaratibu wake... Tanzania unaruhusiwa kumkosoa Rais lakini siyo kumtusi
Aliyesema Tanzania unaruhusiwa kumkosoa Mkulu nani?
Ulisikiliza Mahojiano ya juzi ya DPP?
 
Kwa Vyovyote vile uwe unaikosoa serikali ya jamhuri ya muungano wa watu Fulani basi utaokotwa fukweni Ukiwa umekufa au watu wasiojulikana wasingek kwacha salama
 
Hapa kuna ushahidi gani ya kua alidhamilia kumnyooshea kidole Rais?
 
sio kila kitu cha kuiga!..utamaduni wao unaruhusu ushoga, wako unaruhusu?.

Magufuli sio baba yangu.

Haya na wewe jibu swali langu:

Utamaduni wetu huo unaouongelea unamlinda kila Mtanzania dhidi ya matusi au ni utamaduni wa Mtanzania dhidi ya mtu mmoja tu, Rais?
 
Rais kutukana raia ni kosa lisilovumilika. na hiki chombo hapa chini ndo suluhisho murua. I wish i could put my hands on this bastard called Ma-padlock
upload_2017-10-30_18-22-8.jpeg
 
Back
Top Bottom