Picha iliyoamsha hisia "John P. Magufuli" Vs "John L. Thornton".

Hapo jpm anasisitiza asisalitiwe kwenye walichokubaliana na kuahidiana na mzungu!
Anamwambia be carefully
Kumshka bega maana yake jpm yupo chini ya miguu ya mzungu ingawa anauwezo Wa kumharibia business yake!
 
Daah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.
Hata wakinya juu ya meza mtasema alikua anakula.
Sio tunaogopa wazungu,mzungu alichokifanya hapa dunian si cha kawaida,..au we unaona ni kawaida?mzungu amesha acomplish yoote,..mswahil kafanya nin?lazma mzungu aogopwe shekhe.
 
Kwa aliyo accomplish mzungu hapa dunian lazma aogopwe,usipomwogopa mzungu bas hujui nin kinaendelea dunian,kitechnolojia,uchumi,civilization etc.alichofanya mswahili ni nini??
 
Halafu mbona huyo Bodyguard wa JPM mbona kanuna hivyo?? Mbona kavuta domo hivyo?? Inamaana kuwa usalama lazima unune namna hiyo?? Huwa hawaangalii wenzao wa nje?mbona huwa wako kawaida tu kwa mwonekano wa nje Ila wako vizuri linapokuja swala LA utekelezaji wa majukumu?? Usalama mliomo humu Waambieni Jamaa wabadilike bhana

Wanasema kuwa bodyguard hatakiwi kuhusika na mazungumzo yeye ni ulinzi tu. Hata nyimbo zikiimbwa asichezeshe mguu ama kichwa. Mkuu akichekesha yeye asicheke. Nilisikia bodyguard mmoja wa Rais wa nchi jirani alitimuliwa baada ya kucheka mkutanoni ambapo watu wengi walicheka akiwemo Mkuu husika. Hawacheki ndugu hao!
 
Maelezo yako ya mwanzo hayashabihiani na unachokisema hapa mkuu.
Wewe ni moja kati wale wanaowahanya watu weupe.

Siwezi kukuzuia kuwaza au kunifikiria vyovyote unavyotaka. Narudia tena, kwa muktadha wa picha hii ilivyokaa, mzungu anamwangalia mheshimiwa kwa dharau...

Kujibu tuhuma za aliyesema nawaogopa au kuwatetemekea, nikasema siwaogopi wala kuwatetemekea, nafanya nao kazi na nachukia sana hulka zao, wanaunafiki mwingi sana, hasa wanapohitaji jambo lao liende sawa.

Sasa kama haukaelewa au umeamua kunitafsiri kwa namna nyingine sio mbaya..
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
vipi kitila na mgimwa walipo isaliti chama lao je hao nao wapo pande ipi? au unasubiri ukuu wa mkoa ili hizi kauli zako na wewe uziache?
 
53b69271b49a3ecc3e3b264f965b8d98.jpg

Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..

Kama ni Caption ningesema hivi.

JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .

JLT : Yes Mr. President
IMG_20170615_193628.jpg
IMG_20170615_193657.jpg
 
Kweli aliesema 'a picture is worth a thousand words hakukosea'

Wengine tunaona vingine kabisa

Tunaona mzungu akimtazama mtu usoni na kumuuliza
nani mwizi? na mswahili akilazimisha urafiki na kujifanya yashakwisha
Hapana mkuu huwezi kuongea na mkubwa wako Huku umemshika begani kama mtoto, hapo bwana Thornton kawa belittled kwa kushikwa begani kama mtoto. Baba anaweza mshika mwanae begani namna hiyo wakati wa mazungumzo ila Mtoto hawezi mshika baba hivyo.
 
Kama ukiwa mjuzi wa body language utaelewa kumshika mtu bega kama anavyofanya hapo inamaana gani.
 
53b69271b49a3ecc3e3b264f965b8d98.jpg

Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..

Kama ni Caption ningesema hivi.

JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .

JLT : Yes Mr. President

Unanikumbusha picha ya Shaka Zullu na Wazungu kule Zulu Natal walipokuwa wakinyenyekea kutafuta usalama wao. Halafu walivyokuwa wakijadili na wenzao kila walipoenda Cap na hatima yao.

They both are interests to protect but with different approaches!. Si unajua tuna naman tofauti za kutatua matatizo? Hekima na utluivu huwa vinaenda pamoja.

Papara na hasira ni mlango wa makosa na majuto.
 
Me nahisi jamaa anamwambia njoooooo uwekezeeeee usiiiijaaali.. Tanzania ni nzurii..we're very..very good in uwekezaji Mr...jamaa amasema Kumbe huyu presidaa mwepesiii tuuu..ningekuja hata na meli tuuu..waiiiiii
 
Lakini pamoja na hayo kakimbia fasta kutoka Canada kutafuta negotiations. kumbe haijalishi ulisoma lini mkuu akikuita huna budi kuitika tena fasta


Mbona wewe trafiki wa darasa la saba akikusimamisha unasimama na kunyenyekea?
 
Huyo mzungu kwa nini anamtizama Rais wetu kwa madharau namna hiyo? Ni kama vile anmwambia "we bwa mdogo makelele ya bure tu, huwezi nifanya lolote!" "Uso huu hapa, kama mwanamme kweli hebu rusha ngumi basi"!:D:D:D
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom