Picha iliyoamsha hisia "John P. Magufuli" Vs "John L. Thornton".

cdc

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
431
500
angelijua anachomuwazia huyo mzungu kichwani, angeondoa hata uo mkono begani. wazungu wajanja sana hapo mzungu anawaza atupigeje hadi tutoa machozi.
Wakati wenzetu wazungu wanawafundisha watoto wao kutawala wengine sisi tunafundishwa kuwaogopa watu esp wazungu. Na hii comment yako imethibitisha hili. Mtu kuwaziwa vibaya sio tatizo, tatizo ni pale unapokubali wazo baya unalowazima litimie juu yako wakati wote mmeumbwa with the same ability
 

swahiba92

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,096
2,000
Halafu mbona huyo Bodyguard wa JPM mbona kanuna hivyo?? Mbona kavuta domo hivyo?? Inamaana kuwa usalama lazima unune namna hiyo?? Huwa hawaangalii wenzao wa nje?mbona huwa wako kawaida tu kwa mwonekano wa nje Ila wako vizuri linapokuja swala LA utekelezaji wa majukumu?? Usalama mliomo humu Waambieni Jamaa wabadilike bhana
 

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,987
2,000
Halafu mbona huyo Bodyguard wa JPM mbona kanuna hivyo?? Mbona kavuta domo hivyo?? Inamaana kuwa usalama lazima unune namna hiyo?? Huwa hawaangalii wenzao wa nje?mbona huwa wako kawaida tu kwa mwonekano wa nje Ila wako vizuri linapokuja swala LA utekelezaji wa majukumu?? Usalama mliomo humu Waambieni Jamaa wabadilike bhana
Unataka acheke amchekee nani.
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
14,639
2,000
Hiyo picha ingewekwa bila maneno nikaambiwa nitoe neno, huyo mzungu ni kama anamwangalia mheshimiwa kwa dharau..ukute mkuu alikua anapiga ile lugha ya kigeni, ukichanganya na kujizuia kucheka jamaa yuko relaxed sana, hiyo ni kwa mujibu wa lugha ya muonekano wa jamaa, hana wasiwasi.
 

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,987
2,000
Hiyo picha ingewekwa bola maneno nikaambiwa nitoe neno, huyo mzungu ni kama anamwangalia mheshimiwa kwa dharau..ukute mkuu alikua anapiga lugha ngeni, ukichanganya na kujizuia kucheka jamaa yuko relaxed sana. Hana wasiwasi.
Daah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.
Hata wakinya juu ya meza mtasema alikua anakula.
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
14,639
2,000
Daah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.
Hata wakinya juu ya meza mtasema alikua anakula.
Unataka kujua maoni yangu kuhusu picha au nnavyowaogopa wazungu?

Nafanya nao kazi, nawachukia kuliko unavyofikiri. Kubwa zaixi ni kwa unafiki wao wa kujifanya wanatusaidia huku wanatunyonya na kutukandamiza.

Hilo la kuwaogopa wazungu nafikiri umekosea, naheshimu kila mtu, bila kujali rangi, kabila au kitu chochote kile.
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
14,376
2,000
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom