Bishweko JF-Expert Member Sep 29, 2011 3,281 2,423 Jan 16, 2021 #361 Bujibuji said: Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato Click to expand... Yaani eti watu milioni 18 kwahiyo Bugando itakua na zero kabisa.Washamba bhana
Bujibuji said: Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato Click to expand... Yaani eti watu milioni 18 kwahiyo Bugando itakua na zero kabisa.Washamba bhana
Bome-e JF-Expert Member Jan 3, 2014 17,104 26,070 Jan 16, 2021 #362 Mapank said: Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO? Click to expand... Ukifika Bugando unaambiwa nenda Chato na hupewi huduma! Utaenda tu! Labda mpaka awamu hii ipite!
Mapank said: Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO? Click to expand... Ukifika Bugando unaambiwa nenda Chato na hupewi huduma! Utaenda tu! Labda mpaka awamu hii ipite!