Picha hii ya Lema imenifikirisha sana!

Picha hii ya Lema imenifikirisha sana!

Mmh maccm bhana,hata Farao aliamrisha mzaliwa wa kwanza kiume wa Waisrael wauwawe lkn na yeye alikufa. Kuuwawa na kupotea kwa viongozi wa upinzani si salama kwenu hata nyie mmeshakufiwa na viongozi wenu pia.
They are
images-84.jpeg
 
Bible "OGOPA ANAYEUWA ROHO USIOGOPE ANAYEUWA MWILI"

Paulo Mtume "KUFA NI FAIDA NA KUISHI NI KRISTO".

Ayubu " NILITOKA TUMBONI MWA MAMA YANGU UCHI NITARUDI NILI UCHI".
 
dhambi kubwa kuliko zote hapa duniani ni uwoga!!!..tusiogope kwa lolote,tusonge mbele kila kukicha.
 
Mkuu pamoja na kusema yote hayo lakini bado hakupunguzi adha za Binadamu kuwa Rumande au Gerezani. Nakuhakikishia kuwa Wewe unaweza labda ukawa unamwona Mheshimiwa Lema yupo ngangari ila nikuambie tu kuna uwezekano mkubwa tu moyoni mwake anaumia mno tena kwa mengi ila anajikaza tu kwa nadharia yao ya Ukamanda.

Kama Wewe unaona Mheshimiwa Lema huko alipo sijui rumande au gerezani anapata raha inayompelekea kutokuwa na hofu basi kaombe kubadilishana nae yeye atoke halafu Wewe ukae huko hata kwa siku tatu ( 3 ) kisha uje utupe mrejesho wako humu.

Namkubali sana Mbunge Lema ila akae akijua kuwa Siku zote sikio halizidi Kichwa na kama ile Kauli tunayoambiwa aliongea jana Mbunge mwenzie Kiukamanda Nassari kuwa yoyote anayepinga yanayofanywa na Serikali ya Rais Dkt. Magufuli ni taahira na akapimwe akili ni ya kweli basi Mheshimiwa Mbunge Lema amejitakia mwenyewe na inabidi tu sasa awe mpole.

Awamu hii ya Mr. Sulphuric Acid siyo ya Ki sport sport jamani Wanasiasa wa Upinzani hivyo nendeni nae kwa akili mno na mahesabu makali otherwise you will all be doomed.
Sasa unachotoka povu nn?nakuonea huruma maana unakopa had unga kwa mama k!punguan hukui zaid yakuwa Na akil ya funza!shame of u!!!!
 
watawala wanajenga chuki tu na wananchi, ndo wamewapa pikipiki za mkopo wawasahaulishe? kura kwa huyu kula kwa yule
 
Wacha uongo mkuu
yaani ni hivii.., ukitoka polic mahabusu jumatatu siku ya kesi, unasomewa, umekosa atakae kudhamini, unapelekwa jela, ukiingizwa tu, ukaguzi tayari, unaingia ngomeni kujichanganya na wana zengo, huko unakutana na utawala mwingine na unalazimishwa kunyoa kama ni mtu wa kawaida na haijalishi wewe ni rasta, lakini huwa wanaangalia huyu mtu ana hadhi gani huko nje..!? kama hauna ishu ndio hivyo kipara ngoto kinahusu siku hiyo hiyo..! sijabarkiwaga kusema uongo mkuu..! true kabisa wee nenda tu utaona
 
View attachment 448558
Ule msemo maarufu duniani kwamba "Picha huongea maneno elfu"`umenifanya niiangalie picha ya Lema huku nikifikiria Propaganda za kisiasa zinazopigwa dhidi yake na wanaomchukia. Kwanza kwenye picha hii Lema anaonekana yupo Imara zaidi tofauti kabisa na kabla ya kuingia Mahabusu.Ukimwangalia kwa makini kama wapinzani wake walidhania kumweka mahabusu wanaweza kumjaza hofu basi watakuwa walikosea sana. Lema anaonekana hana hofu kabisa na ana utimamu wa akili.

Jambo jingine nimejiuliza kama washtakiwa huwa wana faragha ama hawana wanapoongea na Mawakili wao wakiwa Kizimbani. Maana kwa namna yoyote hii picha inaonesha kwamba Askari huyo anasikiliza kwa makini sana kinachoongelewa kati ya Lema na wakili wake. Ili iweje?

Lakini pia Lema anaheshimiwa hata na watesi wake. Pamoja na kumsema vibaya na kujaribu kumdhalilisha. Lema analindwa na Askari Magereza mwenye cha Nyota moja. Maana yake hata hao wanaomchukia Lema wanaijua hadhi yake! Lakini siye akina yakhe huwa tukiingizwa Mahabusu ni lazima siku hiyo hiyo tunyolewa nywele. Walisahau kumnyoa nywele Lema ama ni heshima waliyo nayo kwake?
Kwa hiyo unataka aendelee kubaki hulo ili awe imara? Maana sijakuelewa kabisa. Uzi wako imekaa kujipa moyo. Lema atatoka na atakuwa imara akiwa mtaani.
 
Tabasamu ni silaha.Lazima aonyeshe tabasamu mbele ya hadhira ili asiwaangushe wanawe.
Lema akifika mahabusu anajifungia analia weeee,na kumlaumu mungu wake kwa kumuotesha
Mahabusu hanyolewi,subiri afungwe,siku hiyo hiyo ananyolewa
 
Kulindwa na askari wa idadi yoyote ya nyote haiondoi ikweli kwamba Lema ni mahabusu na mtuhumiwa ni mvunja sheria. Huyu ni mpuuzi flani tu, wakili yuko kazini anakula hela ya bwege Lema.
 
Back
Top Bottom