Picha hii ya Lema imenifikirisha sana!

Picha hii ya Lema imenifikirisha sana!

Kulindwa na askari wa idadi yoyote ya nyote haiondoi ikweli kwamba Lema ni mahabusu na mtuhumiwa ni mvunja sheria. Huyu ni mpuuzi flani tu, wakili yuko kazini anakula hela ya bwege Lema.
Umekosea kidogo, labda kwa sababu umeandika ukiwa na hasira na Lema-mtuhumiwa anakuwa hajathibitika kuvunja sheria, kwa hiyo Lema kwa sasa sio mvunja sheria!
 
Lema yupo Imara kuliko kipindi Chochote kile
God Bless Godbless Jonathan Lema
 
Kumbe hata hujui tofauti kati ya mahabusu na mfungwa?
 
Yule mzee naye nilikuwa namuheshimu sana eti anasema wakuu wote wa mikoa wafuate mfano wa Gambo, muda si mrefu nitamshusha kutoka kwenye hadhi niliyokuwa nimempa
Ulikuwa unamheshimu Kwa lipi?
hakuna ccm wa kuheshimiwa awamu ya tano.
 
Mkuu pamoja na kusema yote hayo lakini bado hakupunguzi adha za Binadamu kuwa Rumande au Gerezani. Nakuhakikishia kuwa Wewe unaweza labda ukawa unamwona Mheshimiwa Lema yupo ngangari ila nikuambie tu kuna uwezekano mkubwa tu moyoni mwake anaumia mno tena kwa mengi ila anajikaza tu kwa nadharia yao ya Ukamanda.

Kama Wewe unaona Mheshimiwa Lema huko alipo sijui rumande au gerezani anapata raha inayompelekea kutokuwa na hofu basi kaombe kubadilishana nae yeye atoke halafu Wewe ukae huko hata kwa siku tatu ( 3 ) kisha uje utupe mrejesho wako humu.

Namkubali sana Mbunge Lema ila akae akijua kuwa Siku zote sikio halizidi Kichwa na kama ile Kauli tunayoambiwa aliongea jana Mbunge mwenzie Kiukamanda Nassari kuwa yoyote anayepinga yanayofanywa na Serikali ya Rais Dkt. Magufuli ni taahira na akapimwe akili ni ya kweli basi Mheshimiwa Mbunge Lema amejitakia mwenyewe na inabidi tu sasa awe mpole.

Awamu hii ya Mr. Sulphuric Acid siyo ya Ki sport sport jamani Wanasiasa wa Upinzani hivyo nendeni nae kwa akili mno na mahesabu makali otherwise you will all be doomed.
ff1a1fddf0a9c39aad9d89bd53bedbff.jpg
 
h kesi mbona mwanasheria kindak2 antipas lissu namwona kama yuko mbal sana na h kesi? c mbowe wala msigwa c dogo jj mnyika wako kimya sana hata kwenda kumtia moyo kwel? nadhan kuna haja viongoz wa chadema mngekuwa as a team work hata kama kes n ngumu hyo mngewatia jamba2 hata watawala lkn mkianza mambo ya individualism watapata pa kusemea,muwa kama watoto baba mmoja hata kama mnapishana kimtizamo na misimamo inapotokea suala kama hl wanafamilia huwa wanaingilia/wanandugu ugomv! be blessed man Lema.
 
Mkuu pamoja na kusema yote hayo lakini bado hakupunguzi adha za Binadamu kuwa Rumande au Gerezani. Nakuhakikishia kuwa Wewe unaweza labda ukawa unamwona Mheshimiwa Lema yupo ngangari ila nikuambie tu kuna uwezekano mkubwa tu moyoni mwake anaumia mno tena kwa mengi ila anajikaza tu kwa nadharia yao ya Ukamanda.

Kama Wewe unaona Mheshimiwa Lema huko alipo sijui rumande au gerezani anapata raha inayompelekea kutokuwa na hofu basi kaombe kubadilishana nae yeye atoke halafu Wewe ukae huko hata kwa siku tatu ( 3 ) kisha uje utupe mrejesho wako humu.

Namkubali sana Mbunge Lema ila akae akijua kuwa Siku zote sikio halizidi Kichwa na kama ile Kauli tunayoambiwa aliongea jana Mbunge mwenzie Kiukamanda Nassari kuwa yoyote anayepinga yanayofanywa na Serikali ya Rais Dkt. Magufuli ni taahira na akapimwe akili ni ya kweli basi Mheshimiwa Mbunge Lema amejitakia mwenyewe na inabidi tu sasa awe mpole.

Awamu hii ya Mr. Sulphuric Acid siyo ya Ki sport sport jamani Wanasiasa wa Upinzani hivyo nendeni nae kwa akili mno na mahesabu makali otherwise you will all be doomed.
I don't like it what ur saying, nobody's above the law if it ever existed then WTF
 
Mjazen ujinga tu mwenzenu analiwa na wababe kisongo
 
Lema anaonekana yupo imara sana.
Hili ni pigo kubwa kwa watesi wake.. Gambo and the alikes..!!

Umetumia kipimo gani kujua yuko imara? THEMOMETER,BAROMETER,Kipimo cha kupimia ukimwi,kuharisha au umetumia nini kilichokuhakikishia yuko imara?
 
Back
Top Bottom