Picha: Hii ndio Singida airport

hapo kwa sasa hata ikirekebishwa(kwa wakati huu wa sasa)sidhani kama kuna ndege ya abiria itakayotua,itakuwa ni kufuja pesa tu haswa kwa wakati huu,ni bora kuboresha miundo mbinu inayotumika na wananchi wengi,dodoma pale kuna kiwanja cha ndege kizuri kiasi,ila ndege za abiria ni chweee kabsaa hii inatokana na kuwepo usafiri mbadala wa mabasi kwa bei nzuri inayoendana na hali halisi ya mtanzania!!
 
hata hilo bango kilichimbia kunahitaji hela kutoka serikali kuuuuuuuuuuuuuuuu

2.JPG


Duh! Hii nilifikiri ni choo, kumbe ni ofisi kazi ipo!
 
Uzuri wa Tanganyika ya JK Nyerere kila MKOA lazima Uwe na Uwanja wa NDEGE hata kama ni VUMBI; Hivyo basi Wakati wowote Utahitajika KUTUMIKA

Ukiangalia KENYA Pamoja na MAENDELEO yake VIWANJA VIPO Maeneo ambayo yana RANGI ya KIJANI ukiwa ANGANI
Maeneo ya TURKANA inabidi uwe ha HELIKOPTA; Maendeleo hayo ni ya KIBINAFSI

Usiwadanganye wakuu hapa, unajua wajir iko wapi?

wajir-intl-airport.jpg


Na Lokichoggio?
http://mw2.google.com/mw-panoramio/photos/medium/3049226.jpg


[url]http://2.bp.blogspot.com/_xaQ59EaDbT4/TVMVJCAon0I/AAAAAAAAA1Y/1abvIjF3MAk/s400/DSCN1006.JPG
[/URL]
 
CHECK THE MAP... WAJIR is not TURKANA... NA AIRPORT za KENYA nyingine ni PRIVATELY OWNED... UP NORTH ANGALIA -- JARIBU KUTUMIA RAMANI>>>


F.Y.I -- HIYO MIJI YENYE BLACK DOT; NDIO yenye AIPORT



wg-kenya-1988-400x300.gif

Unamaanisha nini kusema wajir is not turkana?
I gave you a photo of Wajir airport, a link of Lokichoggio airport,another of Lodwar now you want to argue they are privately owned?
No airport in kenya is privately owned maybe airstrips and your map has left out numerous others
 
Sio "ofisi ya wahudumu wa uwanja wa ndege wa Singida" - unaiangusha ukiita hivyo. Hiyo ni Terminal Building.

 
Unamaanisha nini kusema wajir is not turkana?
I gave you a photo of Wajir airport, a link of Lokichoggio airport,another of Lodwar now you want to argue they are privately owned?
No airport in kenya is privately owned maybe airstrips and your map has left out numerous others


LOOK @ KENYA's PROVINCE's SIJUI unabisha NINI...

435px-Kenya_Provinces_numbered.svg.png
 
Kweli hii nchi viongozi hawako serious, PakaJimmy kuja pande hii ujionee maajabu ya 9 ya dunia.
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeee babaangu huu uwanja hauna tofauti na huu uwanja wetu wa mpira hapa rombo

nawashauri 2 kwanini wasijenge kisima kwenye huo uwanja
 
Back
Top Bottom