Picha: Hii ndio Singida airport

Picha: Hii ndio Singida airport

Nadhani hicho ni kiwanja kilichotengwa kwa ajili ya ujenzi wa airfield (hali itakaporuhusu?). Obviously siyo kiwanja cha ndege.
 
Mi imenichekesha hii ndege, sijui ni ya kwendea kwenye space?
1.JPG
Naona mchoraji alichukua picha ya space shuttle, maana kupata picha halisi ya ndege hapo Singida inabidi usubiri miezi sita. Kwa nini tabu yote hiyo, akashusha picha ya space shuttle, akaigiliza, akakabidhi na ikabandikwa!!!
 
"Waziri" Nyalandu attention yake yote imeishia kuonekana mtanashati kwenye luninga na misuti yake mkenge akiwa shimoni soko la Kariakoo au pembeni ya tanuru la kiwanda cha vyuma Tabata. What a lowlife clown not worth even his 2 dollar Walmart bought necktie.
 





​

1.JPG

Hili ni bango utakalokutana nalo ukiwa unaelekea uwanja wa ndege wa Singida uliopo maeneo ya Sabasaba.
2.JPG

Hii ni ofisi ya wahudumu wa uwanja wa ndege wa Singida.
3.JPG

Maandhari ya uwanja wa ndege wa Singida unapoingia.Hapo ndipo ndege zinapotuwa na kupaa.
4.JPG

Helicopter ikijiandaa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Singida.
PICHA KWA HISANI YA CHUMA BLOG
​


You have just made my day, after a long conference meeting! Noma sana!
 
Kweli hii nchi viongozi hawako serious, PakaJimmy kuja pande hii ujionee maajabu ya 9 ya dunia.
Mbona pazuri sana hapa!
Na kawaida size ya jengo la kufikia na kuondokea abiria ni function ya No of pax using it!
Sijaona tatizo kubwa na kiwanja hiki, hii ni airstrip jamani!...kama zinazotua hapo ni C206, C150, C172, MT7(Maule) na Microlight(ML)aka Popobawa, unaweka jengo kubwa la nini!...itakuwa misuse ya useful public funds!
 
Hiyo sio AIRPORT ni AIRSTRIP. kwa nini wasingeandika kiswahili kwenye hilo bango??????? UWANJA WA NDEGE.
 
Mbona pazuri sana hapa!
Na kawaida size ya jengo la kufikia na kuondokea abiria ni function ya No of pax using it!
Sijaona tatizo kubwa na kiwanja hiki, hii ni airstrip jamani!...kama zinazotua hapo ni C206, C150, C172, MT7(Maule) na Microlight(ML)aka Popobawa, unaweka jengo kubwa la nini!...itakuwa misuse ya useful public funds!

Hicho kibao kingeandikwa hivi "Karibu Singida Airstrip" kuna tofauti ya Airport na Airstrip.
 
... mmmh, nadhani ni kikubwa kutosheleza ndege za Caspian kutua na kupaa!

... duuh, naona mchoraji kaamua kuweka picha ya ndege badala ya alama kwenye bango.
 
Back
Top Bottom