Picha: Hii ndio Singida airport

jaman muwe serious icho ni kichaka cha vibaka au uwanja wa ndege mbona ze comedy inaanza mapema wakati uwa ni alhamis
 


Hili Bango hususan picha ya ndege na Kiswa - Engilsh, liliwezaje kukubaliwa na kupokelewa na Afisa Ugavi ?




1.JPG


 
Kila kifanyikacho tanzania, kwangu ni drama!! Nasikia kuchekaaaaaaa!

Na ni drama kweli, Viongozi wetu nadhani sio raia wa Nchi hii kwa jinsi wanavyoiongoza hii Nchi utadhani wanalea mtoto wa kambo hawajali, awe na utapia mlo sawa, awe na degedege sawa, ni kama wanatamani hii Nchi ikate roho waende wanapokujua wao huku wakiwa wamevuna kwa jasho la wazalendo.
 

[h=3][/h]



1.JPG

Hili ni bango utakalokutana nalo ukiwa unaelekea uwanja wa ndege wa Singida uliopo maeneo ya Sabasaba.
2.JPG

Hii ni ofisi ya wahudumu wa uwanja wa ndege wa Singida.
3.JPG

Maandhari ya uwanja wa ndege wa Singida unapoingia.Hapo ndipo ndege zinapotuwa na kupaa.
4.JPG

Helicopter ikijiandaa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Singida.
PICHA KWA HISANI YA CHUMA BLOG

yewoo god forbid
 
Na la kuongozea ni kua tumeadhimisha miaka 50 ya uhuru lakini Wilaya ya Mbulu imeripotiwa mpaka sasa hivi watu takribani 72 washakukufa kwakukosa huduma ya vyoo kutokana na magonjwa ya homa ya matumbo kutokana na kujisaidia ovyo!

NaUpload picha muone.
Hii ndio bongo bwana. kule morogoro vijijini kata kadhaa wenyeji wake wanajisaidia mtoni wakubwa kwa watoto! ukifika huko kwa mara ya kwanza utatafuta choo mpaka uchanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom