naona nia ya mleta picha ni kumdhalilisha "kiongozi wetu mpendwa".
na kwa mtu mwenye busara lipi lilo jema kumpa mtu uwezo wa kujilisha siku zote na familia yake, badala ya mtoto moja kati ya mamilioni ya watz wenye shida na njaa. au una mpa mtu mkopo wa sha moja(chakula cha Shs 1000) na baadae unamtoza riba ya shs2(unamuibia kwenye gharama za umeme, ndege ya raisi/atcl, uchaguzi wa marafki katika baraza la mawaziri na nafasi nyinginezo , kununua vifaa duni vya kiusalama matokeo yake ndio hayo aidha watu wanavilipua kuondoa ushahidi/vinalipuka vyenyewe kutokana na uhifadhi duni nk nk)