Picha hii ina walakini kiprotokali

Picha hii ina walakini kiprotokali

Kwa kweli tujenge tabia ya kuheshimiana
Usipoheshimu ni ngumu kuheshimiwa. Kitendo cha mkuu kumkumbatia aliyefoji na kuwadharau walio sotea elimu inajenga chuki kwa walio wengi bila kujali itikadi zao, sema wengine wanasema wengine wanaumia moyoni. Huo ndio ukweli
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Mama si kiongozi wa kiserikali. JPM yuko ndani ya mkoa wa Dar na mwenye nao ni PM. Acheni u K.
 
Kwamfano post kama hii akija kuisoma mtu wanje ya Tanzania au hata mtanzania anajielewa tunaonekana watu Wa ajabu sana..

Mtu mzima unaenda dukani kununua kifurushi kwa lengo la kupost upumbavu huu kweli?
Ifike mahali jukwaa hili liwe na kuelimisha, na kufurahisha sio kuleta upumbavu..

Hivi angekuwa babaako ndio anawekwa hivyo ungejiskiaje?
Kwanini mnkauwa wajinga kiasi hiki? Mnakimalia vitu hata ambavyo havisaidii kwalolote wala haviwezi kukuongizia kipato kwa siku?

Hivi mamaako na babaako ndio walivyokufundisha?

Wakat mwingne mtu yoyote hawezi kuthamini mchango Wa mawazo yako kwakuwa hayana maana..
Kwa ujinga kama huu hata uongee wazo lenye mantiki utazidi kupuuzwa tu kwakuwa tu umekuwa muumini Wa upumbavu..
-mkuu pole kwanza kwa povu hilo ila nikusahihishe 2 ss hivi hakuna kununua kifurushi bali kuna FREEBASIC buuuuuuure kabisa TIGO EXPRESS YOURSELF
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Mungu wangu
 
Hiyo ndo ukisikia tigo life for more hapo majibu yote ya kwanini bashite atumbuliwi utayapata " bashite babyy"
Matusi yaacheni. Mnamdhalilisha rais ambayo ni taasisi adhimu.
Bashite kutotumbuliwa ni takwa LA taasisi na siyo Magu
 
Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
7eca5afd63ede367860abd5f37399ef8.jpg
Wamefanya makusudi ili kulazimisha Makonda awepo katika Picha ili hata ikisambazwa katika Media mbalimbali basi aweze kuwepo ila hapo alipokaa Makonda alitakiwa akae First Lady naMakonda akae hapo alipokaa Mama Janet. Huo ni upuuzi wa Kiprotokali usiovumilika na wajue kuwa Watu wa Media wana akili pengine hata kushinda wao na wakiamua lao hata ufanyeje litakuwa tu.
 
View attachment 496725

Hii hujaiona mkuu, Protokali inasemaje hapa?

Sasa hv tunaangalia vitu vidogo vidogo
Mmejitahidi sana kuweka picha kujustify protokali anayoitaka mleta uzi

Lakini mleta uzi na kundi lake lote ni zero kichwani, wazazi walipoteza ada Bure,

Najiuliza kumhusisha Rais na mambo ya ushoga hawaoni kama wanajitakia kung'olewa kucha na meno?
 
Mkuu kwanza pole sana kwa maana povu limekutoka ila naomba nkuulize hivi wewe unaifahamu vizuri ITIFAKI?ukijibu ndo na mimi ntakuja na neno
Mimi sizungumzii suala la protocol hapa, nazungumxia matusi anayoelekezwa mheshimiwa Raid wetu kwamba si suala zuri kimaadili, nielewe.
 
-mkuu pole kwanza kwa povu hilo ila nikusahihishe 2 ss hivi hakuna kununua kifurushi bali kuna FREEBASIC buuuuuuure kabisa TIGO EXPRESS YOURSELF
Kwahyo kama kuna freebasic ndio unaitumia kupost upumbavu??
 
Kwani hivi nani nilikuwa anauza unga maana hajafungwa wala kukamatwa yoyote
 
JF inaelekea Shimoni sasa hivi.. Kizazi cha instagram kinakuja kwa fujo huku.. Kizazi ambacho post yoyote kuponda serikali, mtu anabeba hivyo hivyo.. Ataki kuoji..
 
Matusi yaacheni. Mnamdhalilisha rais ambayo ni taasisi adhimu.
Bashite kutotumbuliwa ni takwa LA taasisi na siyo Magu
Acha upumbavu matusi yapowapi neno tigo life for more ndo tusi au bashite babyy ?? Mbona watu wanasema USA BABY au OBAMA BABY
 
Kwamfano post kama hii akija kuisoma mtu wanje ya Tanzania au hata mtanzania anajielewa tunaonekana watu Wa ajabu sana..

Mtu mzima unaenda dukani kununua kifurushi kwa lengo la kupost upumbavu huu kweli?
Ifike mahali jukwaa hili liwe na kuelimisha, na kufurahisha sio kuleta upumbavu..

Hivi angekuwa babaako ndio anawekwa hivyo ungejiskiaje?
Kwanini mnkauwa wajinga kiasi hiki? Mnakimalia vitu hata ambavyo havisaidii kwalolote wala haviwezi kukuongizia kipato kwa siku?

Hivi mamaako na babaako ndio walivyokufundisha?

Wakat mwingne mtu yoyote hawezi kuthamini mchango Wa mawazo yako kwakuwa hayana maana..
Kwa ujinga kama huu hata uongee wazo lenye mantiki utazidi kupuuzwa tu kwakuwa tu umekuwa muumini Wa upumbavu..
Mkuu povu la nn rais amesema hangiwi naona na watanzania nao wameamua awapangiwi cha kupost mm navyo muogopa huyu magu siwezi kupost milele
 
Back
Top Bottom