Picha hii ina walakini kiprotokali

Picha hii ina walakini kiprotokali

Haki itatendeka tu,mh anasubiri report,forgery ya Bashite ni very complicated sio ile ya cheti fake au ya kutumia jina la mtu na mwenye cheti akajitokeza hizi mbili ni offence direct,lakini Bashite,alifeli mara kadhaa,anarudia,anarudia,he never given up ,imebidi nicheke maana jamaa kama mbizi alipiga. Akasoma Chuo,akala nakozi watt wa kiswahili wanaita chini akarudi akagraduate kwa majina ambayo baadae alirekebisha mahakamani,sasa kwa sheria ipi utamhukumu maana hapo hata mahakimu au wanasheria nao lazima waumize kichwa .
Kwa ujumla the man struggled!
Hivyo kuna utofauti na walio fungwa na hata adhabu atakayopewa kama akikutwa na kosa itakuwa tofauti.
Mh kwa hii sinario hawezi kurupuka hata ingekuwa ww
Haaa haaa haaa jamaa si aoneshe vyet tu mjadala uishe.je unadhani watanzania wataiamini hiyo report endapo itamsafisha bashite?
 
Hayo ni matusi, hayafai kwa kweli, hata Kama mtu anapata support kutoka kwa boss wake kutokana na utendaji wake, Kama nyinyi mnaona hafai kwenye hiyo position ni kumshauri tu Rais Kama tunavyoendelea kufanya na Kama Rais mwenyewe kaamua kumuacha na kila kukicha anamsifia kwa utendaji wake, basi ni kuacha Kama ilivyo kwa kuwa yeye ndie mwenye mamlaka lakini si kuanza kumtukana mheshimiwa Rais kwa kiasi hiki, si vizuri HATA KIDOGO.
Hata angekuwaje hawezi kukaa alipopaswa kukaa mama Janet mkuu, kuna tatzo hapo
 
hivi mke wake bashite anajisikiaje akimuona mumewe hivi mbona aibu hivi jamani???
 
Kwakweli nimekereka na baadhi ya maoni ya wachangiaji hayo matusi, hayafai kwa kweli tuwe angalau na stahaa kidogo.
 
Ila watanzania hata kama ni chuki,inabidi tuheshimu cheo cha Mkuu wa nchi,hii too much kumkebehi hivi Rais,kumsingizia Sodomalism,hivi kweli mtu ukikamatwa utakuwa na ushahidi gani? Kuna mambo tuweke uzalendo mbele.
Kama ni hoja tuje na plan B kutoa mawazo tuijengeje nchi.
Kweli Makonda wanasema ana upungufu ktk elimu yake hamna anae Kataa maana hata elimu ya Kawawa na Karume walishika nafasi zaa juu na tunawaenzi.
Uongozi bado ni kipaji na kila mtu anamapungufu.
Tuweke maslahi muhimu ya nchi yetu ilishafikia pabaya,tuvute subira miaka 5 si mingi.
Siungi kila kitu mkono maana kwenye demokrasia kilà mtu ana mawazo mbadala au yake,majorite wins.
Kweli mkuu hii JF imekuwa kama ya watumia ngada tu yaani hata mods hawachukui hatua zozote!
 
Dah.... Ukiona umeanza kutukana ujue umeishiwa kila kitu... Nguvu/uwezo...akili/hoja....na mali..... Utazidi kukonda tu hakuna namna
 
Hayo ni matusi, hayafai kwa kweli, hata Kama mtu anapata support kutoka kwa boss wake kutokana na utendaji wake, Kama nyinyi mnaona hafai kwenye hiyo position ni kumshauri tu Rais Kama tunavyoendelea kufanya na Kama Rais mwenyewe kaamua kumuacha na kila kukicha anamsifia kwa utendaji wake, basi ni kuacha Kama ilivyo kwa kuwa yeye ndie mwenye mamlaka lakini si kuanza kumtukana mheshimiwa Rais kwa kiasi hiki, si vizuri HATA KIDOGO.
Inauma eeh?
Hivi ndivyo wanaouchukizwa na yanayoendelea wanavyoumia pia.

Feel it..
 
Hivi Mama Janet kabila gani mbona mpole sana anaporwa nafasi anatulia tu maana kama wakati anasindikizwa PM wa Ethiopia Bashite alishikwa mkono kabisa akatembe Red Carpet na Mkuu
 
Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
7eca5afd63ede367860abd5f37399ef8.jpg


Heshimu protokali.
Kitu usichokijua uliza kwa adabu uelekezwe.

20170416_172627.png

20170416_172845.png

20170416_172745.png

20170416_172719.png
 

Attachments

  • 20170416_172719.png
    20170416_172719.png
    169.5 KB · Views: 27
Back
Top Bottom