Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,091
Bashite pale Magomeni kota kwa mlioangalia TBC alikimbilia kiti cha karibu na JPM kama anamuwahi Mama Janet lakini akajikalia cha mbali mpaka akaombwa asogee karibu
Hili povu si la nchi hii,Kwamfano post kama hii akija kuisoma mtu wanje ya Tanzania au hata mtanzania anajielewa tunaonekana watu Wa ajabu sana..
Mtu mzima unaenda dukani kununua kifurushi kwa lengo la kupost upumbavu huu kweli?
Ifike mahali jukwaa hili liwe na kuelimisha, na kufurahisha sio kuleta upumbavu..
Hivi angekuwa babaako ndio anawekwa hivyo ungejiskiaje?
Kwanini mnkauwa wajinga kiasi hiki? Mnakimalia vitu hata ambavyo havisaidii kwalolote wala haviwezi kukuongizia kipato kwa siku?
Hivi mamaako na babaako ndio walivyokufundisha?
Wakat mwingne mtu yoyote hawezi kuthamini mchango Wa mawazo yako kwakuwa hayana maana..
Kwa ujinga kama huu hata uongee wazo lenye mantiki utazidi kupuuzwa tu kwakuwa tu umekuwa muumini Wa upumbavu..
You made it, moto.Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Naona kama ni picha ya familiaKwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
![]()
sijakupata pleaseMkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Total Insult to the President. You deserve a serious warning.
How sijaelewa. insult kwa vipi. Nimesoma fb tanzagiza amesema mabo ambayo siyaamini. kama ndiyo hayo, sidhani kama kuna ukweli, ignore pleaseTotal Insult to the President. You deserve a serious warning.
WeweHuyo aliyezibwa sura ni nani kwani?
Huyo aliyezibwa sura ni nani kwani?
Hivi hata kukaa kunahitaji protokali?? Kwanza walikuwa wapi?? mimi nadhani haikuandaliwa waliamua kukaa tu kwa kuchangamana, pengine baada ya maongezi muhimu kwisha.Total Insult to the President. You deserve a serious warning.
Akitaka asitukanwe na yeye aache kututukanaHayo ni matusi, hayafai kwa kweli, hata Kama mtu anapata support kutoka kwa boss wake kutokana na utendaji wake, Kama nyinyi mnaona hafai kwenye hiyo position ni kumshauri tu Rais Kama tunavyoendelea kufanya na Kama Rais mwenyewe kaamua kumuacha na kila kukicha anamsifia kwa utendaji wake, basi ni kuacha Kama ilivyo kwa kuwa yeye ndie mwenye mamlaka lakini si kuanza kumtukana mheshimiwa Rais kwa kiasi hiki, si vizuri HATA KIDOGO.
ww hujasoma diplomasia picha iko sahihi ndo inabidi akae hivyo mkono wa kushoto wa rais;then anafuatia mke wa rais!Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
![]()
DABHuyo aliyezibwa sura ni nani kwani?
Haki itatendeka tu,mh anasubiri report,forgery ya Bashite ni very complicated sio ile ya cheti fake au ya kutumia jina la mtu na mwenye cheti akajitokeza hizi mbili ni offence direct,lakini Bashite,alifeli mara kadhaa,anarudia,anarudia,he never given upKama hivyo na wale waliofungwa kwa kufoji vyeti waachiwe
,imebidi nicheke maana jamaa kama mbizi alipiga. Akasoma Chuo,akala nakozi watt wa kiswahili wanaita chini akarudi akagraduate kwa majina ambayo baadae alirekebisha mahakamani,sasa kwa sheria ipi utamhukumu maana hapo hata mahakimu au wanasheria nao lazima waumize kichwa
.
Povu!!Mtu ambaye hawezi kuwa na adabu kwa mkuu wake ni yule tu aliyezaliwa na kulelewa kwenye danguro...
Huyo hawezi hata kuwa na heshima kwa babaake wala mamaake kwani michezo anayofanyiwa mamaake anaiyona..
Huna adabu kabisa