Picha hii ina walakini kiprotokali

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,954
8,093
Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
7eca5afd63ede367860abd5f37399ef8.jpg
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
 
Duh....
 
Hayo ni matusi, hayafai kwa kweli, hata Kama mtu anapata support kutoka kwa boss wake kutokana na utendaji wake, Kama nyinyi mnaona hafai kwenye hiyo position ni kumshauri tu Rais Kama tunavyoendelea kufanya na Kama Rais mwenyewe kaamua kumuacha na kila kukicha anamsifia kwa utendaji wake, basi ni kuacha Kama ilivyo kwa kuwa yeye ndie mwenye mamlaka lakini si kuanza kumtukana mheshimiwa Rais kwa kiasi hiki, si vizuri HATA KIDOGO.
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Total Insult to the President. You deserve a serious warning.
 
Ila watanzania hata kama ni chuki,inabidi tuheshimu cheo cha Mkuu wa nchi,hii too much kumkebehi hivi Rais,kumsingizia Sodomalism,hivi kweli mtu ukikamatwa utakuwa na ushahidi gani? Kuna mambo tuweke uzalendo mbele.
Kama ni hoja tuje na plan B kutoa mawazo tuijengeje nchi.
Kweli Makonda wanasema ana upungufu ktk elimu yake hamna anae Kataa maana hata elimu ya Kawawa na Karume walishika nafasi zaa juu na tunawaenzi.
Uongozi bado ni kipaji na kila mtu anamapungufu.
Tuweke maslahi muhimu ya nchi yetu ilishafikia pabaya,tuvute subira miaka 5 si mingi.
Siungi kila kitu mkono maana kwenye demokrasia kilà mtu ana mawazo mbadala au yake,majorite wins.
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
Kwa hiyo ndo unatimiza azimio la kutomrusha hewani bashite?
 
Naombeni picha za watangulizi waliopiga kwenye matukio kama hayo kuona walikuwa wanakaa vipi?
 
Back
Top Bottom