Picha: Gigy Money new looks

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Gigy Siku hizi anakua mcharo, Naona mambo yake si Haba, halafu na yeye kawa pisi Kali Siku hizi , Tatizo tu uswahili ndo mwingi, ila kwa uzuri mashallah lizur na Naona mganga wake wa sasa hivi hajamtapeli, sifa na utukufu pia ziende kwa fred vunja bei mlezi wa wana
IMG_8248.jpg
 
Gigy Siku hizi anakua mcharo, Naona mambo yake si Haba, halafu na yeye kawa pisi Kali Siku hizi , Tatizo tu uswahili ndo mwingi, ila kwa uzuri mashallah lizur na Naona mganga wake wa sasa hivi hajamtapeli, sifa na utukufu pia ziende kwa fred vunja bei mlezi wa wanaView attachment 1611539
Mkuu nimekua nikikuona we ni mbea na umbea unaujua. Hivi huyu vunja bei pesa zake hasa anapata kutokana na nini. Haiwezekani eti nguo aisee. Mi umbea sijui lkn nauliza tu. Huenda nikawa kama wewe.
 
Back
Top Bottom