Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Picha: DJ choka umri umeenda unajua

"Mwenye mke halalamiki, nyie mnapiga kelele, yanawahusu nini?" Nukuu kutoka kwa Marehemu Ramadhani Mwishehe Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, siku anaongea na Waandishi wa Habari Dar es salaam! Chanzo cha kauli ni pale Waandishi wa Habari walipokuwa wakimsakama kuhusu tuhuma za Braza Ditto kutoka na mke mtu!!!

Na wana-JF mmeng'ang'ania DJ Choka ana mke, ana mke... kwani huyo mkewe kawalalamikia, au?

Hapo chacha,,,afu wanamuita shobo wakati kazi zake zinaruhusu kuwa karibu na hao sijui wasanii wenu from Dj to blogger!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu............
Nani kasema......mashavu yameshaanza kuchuma kunde afu we unamuita M-bebi!™
Yule ni kikongwe....wamecheza vikopo pamoja na Le Mutuz

crying-laughter-smiley-emoticon.gif
 
Huyu jamaa ovyo kweli mi nilikuwa namfollow insta ila kuna siku akaposti chupi ya mkewe ikiwa ina tumavimavi na tudamu nika mu an follow cku hyo hyo alaf mi namuona kama mshamba flan hv mi jitu la wapi hili jaman mbona kama ana tuelement twa u beche hv kazi kujipendekeza kwa wenye vyao anaboa na lipua lake kama aurus mabele xvfsjnugdjisan zake maku huyo

Ni mshikaji wake Le mutuz
 
warumi

Ninavyojua mimi jamaa ni DJ na blogger wa mambo ya burudani hivyo kuwa karibu na wasanii sio kitu cha ajabu. Suala la umri sioni kama ni tatizo mbona Kina Dr dre, Jay Z n.k ni watu wazima lakini bado wana-hang na kina Kendrick Lamar, J Cole n.k.

Masuala ya uhusiano wake na mkewe sidhani kama linamhusu yeyote zaidi ya yeye na mkewe. Kuhusu tabia ambazo watu wameziita za ajabu kila mtu ana udhaifu wake kwa hiyo hatuna haki ya kumhukumu.
 
Last edited by a moderator:
umbeya kwa mwanaume haufai.

Na wewe umo nn mdau cyo umbea hyo ni fact kama humjui njoo nyama choma festival tareh 6 vwanja vya udsm uhakikishe utuletee mlejesho hapa uone shobo na ungese wake au angalia vdeo ya shilole ulione lillivyo ovyo
 
Mweeeee! Sasa naanza kuamini kuwa mtu ukiwa na mwili mkubwa akili zinapungua....kwa hiyo wakati mwenzake anaposti picha yake ya asubuhi akitoka kuamka ye anapost chupi ya mkewe.......hatari...

Unaloongea linaweza kuwa kweli kwa mfano wa Le Mutuz na huyo Choka.
 
Duh!! Umeniwekea hadi link, thanks for your time shoga mwenzangu.
Bro nisamehe sikujua kama wewe ni mwanaume haki ya Mungu vile...Na kwa kukuonyesha kwamba nimemaanisha nafuta comment yangu ya mwanzo pamoja na link...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom